Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,165
- 85,180
Utaozea mtaani mkuu, usikate tamaa we omba tuuHawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
Hizo kaka zknakukaga watu wanasombwa kimya kimya neno utumishi lielewe ndaniHawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
Nimepata taarifa kuwa Mahamaka imetoa nafasi za kazi wiki hii mwenye link tafadhali tu saidia.
Rushwa Tupu!!😶😶😑😑Hao mchakato wao wa ajira ni rushwa tupu na kujuana yaani chombo cha mahaakama alafu wanapokea rushwa katika mchakato
MkuuMtunza kumbukumbu ll, mahakamani mshahara wake ni Tsh. ngapi
Inakugharimu bei gani kuweka hiyo salary scale hapa?Mkuu
Mbona Salary Scale Zote Zipo Hapo Juu
Unajitoea Tu. Mahakamani Utaomba....
Kujuana ni kwingi huko upo sahihi. Rushwa sina uhakika.Hao mchakato wao wa ajira ni rushwa tupu na kujuana yaani chombo cha mahaakama alafu wanapokea rushwa katika mchakato
Mtunza kumbukumbu ll, mahakamani mshahara wake ni Tsh. ngapi
Asante sanaTsh 390,000/-
Asante sana
NdioKaribu,
Umeitwa kwenye usaili?