sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 8,071
- 7,442
Hakuna kitu hapo ni uhuni tu, ili ni jini ambalo tulilikaribisha pasipokujua mwisho wake itakuwaje.Toka nizaliwe nilikuta malalamiko ya kuwa Zanzibar inanyonywa lkn nikiangalia kwa makini Zanzibar ndiyo inanyonya Bara.Na kwanini pande zote mbili hazitaki kuweka wazi makubaliano waiyokubaliana na yanatekelezwaje, kwa sasa naona kila upande unanyofoa kipande tu ambacho pengine hakikutekelezwa.Wabunge kutoka Zanzibar wapo pale kujadili mambo yote ya kibunge yanayohusu Muungano.
Wapo kwa ajili ya kuwawakilisha Wazanzibari kwenye Muungano