4 university students | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

4 university students

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Freddy81, Apr 30, 2009.

 1. Freddy81

  Freddy81 Member

  #1
  Apr 30, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ONE NIGHT 4 UNIVERSITY STUDENTS WERE BOOZING TILL
  LATE NIGHT AND DIDN'T STUDY FOR THE EXAM WHICH WAS
  SCHEDULED FOR THE NEXT DAY.

  IN THE MORNING THEY THOUGHT OF A PLAN. THEY MADE
  THEMSELVES LOOK AS DIRTY AND WEIRD AS THEY COULD WITH
  GREASE AND DIRT.

  THEY THEN WENT UP TO THE DEAN AND SAID THAT THEY HAD
  GONE OUT TO A WEDDING LAST NIGHT AND ON THEIR RETURN
  THE TYRE OF THEIR CAR BURST AND THEY HAD TO PUSH THE
  CAR ALL THE WAY BACK AND THAT THEY WERE IN NO
  CONDITION TO APPEAR FOR THE TEST.

  THE DEAN WAS A JUST PERSON SO HE SAID THAT YOU CAN
  HAVE THE RE - TEST AFTER 3 DAYS. THEY SAID THEY WILL
  BE READY BY THAT TIME.

  ON THE THIRD DAY THEY APPEARED BEFORE THE DEAN. THE
  DEAN SAID THAT THIS WAS A SPECIAL CONDITION THAT ALL
  FOUR WERE REQUIRED TO SIT IN SEPARATE CLASSROOMS FOR
  THE TEST.

  THEY ALL AGREED AS THEY HAD PREPARED WELL IN THE LAST
  THREE DAYS.

  THE TEST CONSISTED OF 5 QUESTIONS WITH TOTAL OF
  100 MARKS.


  Q .1. WRITE DOWN YOUR NAME ----- (2 MARKS)


  Q.2. Write the name of the bride and bridegroom at the
  wedding you
  attended 4 days ago-----(30 Marks)


  Q.3. What type of a car burst a tyre.------(20 Marks)

  Q. 4 . WHICH TYRE BURST ------- ( 28 marks )


  Q.5. Who was driving----------(20 marks)


  What do think the answers will be???
  I need your comments.....
   
 2. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2009
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Duu! wamekwisha!
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kila mmoja lake labda kama wana mobile wafanye conference call wakubaliane otherwise njia ya mwongo fupi
   
 4. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Du huyo Dean ni kiboko!Walikolala wao ndiko alikoamkia Dean!Kwa ufupi wameumbuka!
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Madogo wamelamba garasa.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Kwa mchecheto watakaoupata hata swali la kwanza wanaweza kukosa pia!
   
 7. B

  Balingilaki Member

  #7
  May 1, 2009
  Joined: Aug 2, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama mitihani ya chuo ingekuwa hivi watu wangekuwa fiti kinoma.
   
 8. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ni wanafunzi smart wanapata mia; ukiwa muongo inabidi kupanga kila kitu including details kama hizi!
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ukaandika jina la mwenzio badala ya lako. Du! ticha kawachemsha kweli, na kama hawajiandaa na uongo wao kwisha kazi watajichanganya sana.
   
 10. C. Misonge

  C. Misonge JF Gold Member

  #10
  May 1, 2009
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kaazi kweli kweli!! kijasho chembamba lazima kiwatiririke
   
 11. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2009
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Je huyo lecturer alikuwa anawatahini nini? Ninawashauri wa wa appeal maana maswali hayakutoka katika course outline hata kidogo. Secondly je kuandika jina tu katika level ya chuo kikuu upate marks za bure??? ni kuonesha kuwa hicho chuo hakinaq mwelekeo basi. hahaha. Though hadithi inatufundisha tusidanganye na tujiweke tayari katika matukio mbalimbali yanayotukabili. kwikwi
   
 12. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  teh teh teh teh teh teh kwa stail hii wajaa wamekula ya mbuzi.... kwa maana kwa levela ya chuo kikuu mtu unaweza huambiwa hata usijibu chochote na ukapata 100% na kama hiyo test ilikuwa ya Communication skill ndio wamekwisha kabisaaa.... maana test zake huwa za ki-IQ zaidi ya ki-Madesa wise...

  Nampongeza sana huyo Dean...

  I dont imagine the first Question......what is your name...."unawaka..."
   
 13. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  |Ha haaaaaaaaaaaaaaaa, mkuu waongo walio wengibsio smart kihivyo.
   
 14. C

  Chukunchu Member

  #14
  May 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! hapo dawa ni kuomba tu kwenda kujisaidia tena choo cha shimo nje ya chuo.... halafu mitini. Ni tusker tu zitakuondolea mawazo baada ya hapo.
   
 15. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ANSWER IS SIMPLE

  Utakubaliana nami kua :

  Dean= (is) Aware of lies

  Therefore,
  Solution itakua ni = Discussion
  Na discussion=

  Discussion = 1st student+2nd student+3rd student+4th student.

  Hata hivyo Discussion=Agreement of car no.,wedding mates names etc.  ThatÂ’s a formulaic expression of the problem for computational mathematicians.
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wa wa wa wa....mmmmm aisee hapo lazima wajikojoleeeeeeee kiduchu....
   
 17. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  freddy,
  i real loughed.
  I'll give you my opinion later,.....
   
 18. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii inanikumbisha kisa fulani cha kweli miaka kama 3 au 4 hivi iliyopita pale Ardhi University (former UCLAS). Kuna mwanafunzi mmoja aliyekuwa anasoma mwaka wa nne (environmental engineering) alikubaliana na supervisor wake kufanya utafiti juu ya uchafunzi wa mazingira kule feri. Baada ya muda mwanafunzi akampelekea mwalimu wake matokeo ya utafiti wake. Mwalimu wake akashuku kuwa mwanafunzi hajaenda field bali amekaa mezani na kupika matokeo (data) mwanafunzi akasema si kweli. Ikafika siku ya ku-present kazi zao mwalimu wake bado akasisitiza kuwa mwanafunzi yule hakwenda field (sehemu husika-feri) kufanya utafiti lakini mwanafunzi akaendelea kusisitiza kuwa alienda na kukawa na mabishano makali. Sasa mkuu wa kitivo (Dean of Faculty) akamuuliza swali yule kijana kama kweli ameenda field je zile meza wanazoparulia samaki pale feri soko jipya ni za mbao au za zege (concreate). Mwanafunzi akajibu kuwa ni za mbao. Tayari uongo wake ukawa umethibitika.
   
 19. o

  octavina carlos New Member

  #19
  May 11, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekula kwao hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. M

  Mbonafingi Senior Member

  #20
  May 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!!
  kwisha habari yao waandike maumivu.
   
Loading...