4 /6/ 8GB DDR2 memory for PC

iNine9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,230
7,814
Habarini wakuu...

Aisee nina shida na RAM aina ya ddr2 yenye at least ukubwa kuanzia 4GB kwa bar/stick 1 mpaka 8GB (2×4gb)

Nina mashine hapa nahitaji ku upgrade RAM, nina software moja ya kazi ina kula RAM sana yaani ku operate yenyewe background inalamba 2GB ya RAM na mashine yangu ina Ram 3gb pekee…

Msaada naweza pata wapi hizo RAM na bei yake pia, Mimi niko Mwanza..

Chief-Mkwawa na wengine msaada.

IMG_20211130_125311_4_1638266108252.jpg
IMG_20211130_125322_2_1638266054623.jpg
 
Hii Software ya Serato ndiyo inaleta challenge sana kuna muda ina drag na kushindwa ku operate vizuri, dawa yake huwa ni kutumia MacBook huwa haisumbui huko kwa sasa bado najichanga ila nataka mambo yazidi kukwama kwama at least ni upgrade RAM..

SERATO.jpg
 
Serato dj kilio cha wengi (windows)
Aisee kweli bro kulitumia hili dude kwenye windows PC ni kama unalilazimisha tu, ila kwenye MacBook computer hata kawe kadogo tu kanali-handle vizuri mno hata huwa haidrag..

Ila ukiwa na gaming PC halisumbui au kwenye powerful desktop computer, sasa u DJ wa kutumia desktop tena..
 
Desktop inakuwa changamoto ndugu DJ 😂😂

Back
Top Bottom