3S VS D4 toyota engines

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
508
470
Kama title inavyojielezea hapo juu, kutoka na ongezeko la magari ya kila aina kila itwapo leo!..

Imefikia mahala kwa watu makini kabla ya kufikia uamuzi wa kuagiza gari tufanye tathmini ya kina zaidi hasa kwenye hizo engines za magari.

Kwa kesi hiyo yoyote mwenye uelewa na ingines hizo atufafanulie interms of,
Fuel consumption.
Uimara wake.
Utamu wake.
Cost Maintanence.
 
mkuu umesoma ulichokiandika lakini kabla ya kupost? 3S VS D4 ndio nn??
rudi tena andika vizuri na kwa makini ili ueleweke kama nimsaada utasaidiwa.
 
mkuu umesoma ulichokiandika lakini kabla ya kupost? 3S VS D4 ndio nn??
rudi tena andika vizuri na kwa makini ili ueleweke kama nimsaada utasaidiwa.
Ni hivi mkuu, kwakuwa mimi siyo mtaalamu wa engines za kwenye magari basi nitatoa mfano mdogo ambao nadhani huo utaniongoza kwenye context yangu..

Engines za townace noah hizi zinazofanywa daladala na engines ilyofungwa kwenye noah mayai aina ya voxy ni sawa ama voxy yenyewe
Kwa uelewa wangu mdogo nadhani umenielewa ninachomaanisha kwenye townace ni roho ya paka na kwenye hilo yai aina ya voxy ni mafua matupu na ndiyo mana wengi nimeona wakibadilisha engine.
Au shida ipo kwa mafundi wetu wa kitaa kutozifahamu vzr hizo latest engines.
 
Back
Top Bottom