3d printer mkombozi na adui mkubwa wa watengeneza vinyago tanzania

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,704
39,781
tuanze na printer kwa wasioijua hichi ni kifaa ambacho hutumika kupresent kitu kilichopo katika electronic form kije katika physical form (softcopy to hardcopy)

Sasa sku hizi kwa wasiojua kuna 3d printer ambayo inascan kitu na kukitoa vile vile (kama sanamu lake)
Ona mfano hii ni bunduki iliokua 3d printed
worlds-first-3d-printed-gun-520x363.jpg


Printer yenyewe ipo hivi
522px-ORDbot_quantum.jpg


3d printer adui wa vinyago tz
Kwa kutumia hizi printer hawa jamaa macapitalist watahitaji sample tu ya kila aina ya kinyago an then watatoa vinyago zaidi ya milion kwa siku na kuviuza kwa bei rahisi (wachina ndo nuksi zaidi)

3d printer kama mkombozi
Kama hawa jamaa watazinduliwa kwa sababu wao ndo watengeneza sample its better wakawa wao ndio wa kwanza kuzinunua hizi printer ili waweza kutengeneza vinyago maana kila siku kuna vinyago vipya vinatengenezwa wataweza ku compete na mataifa makubwa sababu inovation yao ni kubwa wale watakua wanafanya copy an paste ya vinyago vya zamani tu.

Bei za hizi printer zinarange kuanzia dola 500 hadi 20,000 yani kuanzia laki 8 hadi zaidi ya milioni 30 na hii ni kwa sababu ya speed na quality ya hicho kitakachokua printed

Zindukeni kaka na dadazangu wamakonde dunia tunapokwenda mtabaki historia
 
Back
Top Bottom