@@@@@?????

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,647
6,829
JAMAA kaingia bar kwa fujo...JAMAA:lete bia hapa na kila m2 humu ndani mpe bia yake maana napokunywa bia nataka kila mtu anywe bia.
WATU:Ha ha ha ha!!.wakapewa bia
JAMAA:Lete mchemsho hapa na kila mmoja mpe mchemsho wake maana napokula mchemsho nataka kila mtu ale mchemsho
WATU:ee ahsante sana..makofi kwake tafadhali,pa pa pa. mhudumu akawapa. JAMAA:Lete BILI hapa na kila m2 mpe BILI yake maana ninapolipa bili nataka kila mtu alipe bili yake mwenyewe.
 
Lazima apokee kichapo mtu ukute huna chochote mfukoni, anyway starehe gharama
 
ahahaha, lakin itakula kwake, mhudumu atabanana nae maana mara nyingi alietoa order ndie anapelekewa bill.....Kwenye kila mtu kulipa bill ndo utaona sura za hasira na kila mmoja anatoka nje, sijui yale makofi aliyopigia atayalipaje.
 
MHUDUMU:chukua bili hapa (order zote zimo kwenye hiyo bili) na kila mtu bili yake hii hapa (zina zero amount kwani hawaku order )
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom