@@@@@!!!!???

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Unamnunulia mke wako SIMU mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamlipia mke wako ADA ya chuo, Mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni Mwingiliano wa mtandao. Unamnunulia mke wako CHUPI , Mwanaume mwenzako ANAMVUA, Huko ni kusaidiana ktk maisha. Unamwomba mke wako mfanye tendo la ndoa japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzako anabembelezwa na mke wako wakalale mpaka asubuh pindi unaposafiri,Huu ni mtazamo tu.
 
huku sasa kutiana presha ndugu
 
Hii zaidi ya udaku na joke...cjui kwann umeiweka uku. Too hurting bt ndo ukweli
 
Back
Top Bottom