3500 yangu imeenda bure hotelini ,nimepunjwa msosi haiwezekani

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Jamani hii ni haki kweli unatoa 3500 uhudumiwe chakula lakini cha kusikitisha unapewa msosi wa tonge moja

Wenye mahoteli huu si uungwana



47f5708b5491ba8697eb41b034815536.jpg
 
Hahaha kwa hiyo mkuu kwako wewe hilo ni tonge moja, halafu umesahau siku hizi Ugali ni chakula cha Anasa kwa sababu bei ya unga ni nomaa
 
Hukutakiwa kuushika mkuu, maana hiyo umekubaliana na kiasi hicho, ilitakiwa ulipofunuliwa tu uwaambie ukweli kuwa huwezi shiba na huo ndio uzalendo wa nafsi hapo unajiumiza tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom