sio kila kitu source, kwani huoni umasikini wa watanzania, au kwenu masaki?mkuu habari umeipika mwenyewe ama vp....haina mantik..ebu leta source na context angalau mambo yaeleweke
Tunajua wa Tz ni maskini kwasababu humu JF mtu akitaja gari watu watamponda sana.....sio kila kitu source, kwani huoni umasikini wa watanzania, au kwenu masaki?
Huwezi majibu ya utafiti hewa. Huwezi pita barabarani ukatoa hitimisho la hivihivi kuwa umasikini wa watz ni 34% . lazima ufanye utafiti ndipo utoe majibu. kwa 34% basi watz sio maskini kwa maana hiyo 66% ya watz ni matajiri???? wanasema no research no right to speak.sio kila kitu source, kwani huoni umasikini wa watanzania, au kwenu masaki?
Hee??Tunajua wa Tz ni maskini kwasababu humu JF mtu akitaja gari watu watamponda sana.....
Kinyume cha maskini sio tajiri..Huwezi majibu ya utafiti hewa. Huwezi pita barabarani ukatoa hitimisho la hivihivi kuwa umasikini wa watz ni 34% . lazima ufanye utafiti ndipo utoe majibu. kwa 34% basi watz sio maskini kwa maana hiyo 66% ya watz ni matajiri???? wanasema no research no right to speak.
Mkuu haina maana hiyo.. 34% bado.wanaishi kwenye umaskini.. haimananihsi walio baki mi matajiri.. wote wanao ishi chini ya dollar 1 ni maskini kimataifa na ndio hao wanao zunvumzwa hapa.. anaye ishi kwa dolla 2 sio maskini lakini pia sio tajiriMzee 34% ndio masikini?Si kweli...una maanaisha tanzania ina matajiri zaidi ya 50%?....tungekua taifa la uchumia wa kati....
Tanzania ina masikini sio chini ya 80%,kama nimekosea aisee nipigwe ban right away
Vigezo vipi vimetumika? Maana Poverty analysis inategemea sana tunalinganisha nini against nini. Literate rate, Magonjwa, Ratio ya daktari mmoja kwa wagonjwa kadhaa, level of employment, purchasing power ya eneo fulani etc etc...sasa funguka zaidi tukueleweTanzania kukiwa na 34% ya watu wanaishi kwenye umaskini .. Kenya wanao ongoza uchumi wa Afrika mashariki wana 42% ya watu wanaoishi kwenye umaskini.. wakati huo Tanzania ni ya pili kiuchumi kwa afrika mashariki..