32GB IPHONE OTG FLASH INAUZWA 15,000

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,242
Points
2,000

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,242 2,000
Hii OTG FLASH ya iphone ina pande mbili huu wa kutumia kama flash na huu wakuchomeka kwenye simu

Upande wa flash ya kawaida umeharibika,imebaki upande wa iphone ndio unafanya kazi kama kawaida

Kwa watumiaji wa iphone unaweza ichukua hii ukaitumia kuongeza storage kwenye simu yako

wale wenye simu GB 16,32,64 mnaweza ongezea na hii GB32 mambo yakawa ni faya motoooo.

Hii kitu ni used sio mpya.

Mahali: KIMARA/DAR

MAWASILIANO: kwa muhitaji karibu PM au weka namba zako chini nitakupigia.

IMG_20100102_073439.jpg
IMG_20100102_073520.jpg
IMG_20100102_073540.jpg
 

Forum statistics

Threads 1,366,908
Members 521,593
Posts 33,380,393
Top