(3) Three reasons why Africans are poor, you may disagree with #1

Ukimiliki teknolojia ndio unamiliki power sasa, kwa sasa mwarabu bado yupo chini ya mzungu na anapelekeshwa na mzungu tu, chukulia tu kwa mfano sula la Israel anavyonyanyasa Wapalestina na nchi za kaiarabu kama Egypt, Saudia, UAE zinakuwa washirika wa Israel na Marekani tena

Afrika hata Latin America imeiacha mbali sana pamoja na matatizo yao, yaani ukiangalia nchi kama Zambia, Tz, Chad, Niger, DRC linganisha na nchi kama Mexico, Peru, Argentina, Chile, Brazi, Bolivia, Colombia, Honduras? utaona gepu kubwa sana
Brazilian tu ndio inamaendekeo nakubwa ya kiteknolojia wanaunda hats ndege.Nchi zingine hizo Hanna kitu,in masikini tu.Third world countries! Mexico na SA,Egypt au Nigeria wanatofautu gani
 
Brazilian tu ndio inamaendekeo nakubwa ya kiteknolojia wanaunda hats ndege.Nchi zingine hizo Hanna kitu,in masikini tu.Third world countries! Mexico na SA,Egypt au Nigeria wanatofautu gani
Sijui uelewa wako kuhusu uchumi ila Nigeria haifikii kabisa Mexico,Yaani kwa kifupi ni hakuna nchi ya Sub Sahara africa iliyoifikia nchi ya Latin America kwa maendeleo except South Africa ambayo imeendelezwa na makaburu

Kuna kitu kinaitwa HDI , au Human Develeopmant Index hiki ndio kipimo cha maendeleo kwenye nchi, inakupa quality ya maisha ya wananchi kuanzia kwenye vitu kama huduma za afya, usafiri, kipato cha mtu mmoja mmoja, uhakika wa chakula, umeme, nyumba bora n.k.
GDP haikupi picha kamili ya quality ya maisha katika nchi sababu GDP inaweza kutokana na population kubwa ya watu masikini

Sasa Nigeria japo ndio ina GDP kubwa zaidi Afrika haifikii hata HDI ya nchi kama Tunisia, Yaani kwa wastani wananchi wa Tunisia wana umeme, nyumba bora, huduma za afya, miundombinu n.k bora kuliko Nigeria, Sasa Mexico imeipita Tunisia sembuse hiyo Nigeria? Nigeria ni shithole kama bongo tu au unatishwa na hiyo GDP kubwa ya hao masikini milioni 200?

2019 Human Development Index Ranking | Human Development Reports
 
Ona vitoto vilivyo vingi kama utitiri! Vimekondeana sijui vina unyafuzi?

Punguzeni kuzaa zaa hovyo mnatengeneza mzunguko wa umasikini usiokwisha kwenye familia na kwa taifa zima kwa ujumla!

Watu wazae kwa kiasi! Umasikini hautakwisha kwa aina hii ya uzaaji usio na mipaka!

Hapo sikubaliani nawe, China yenye idadi kubwa ya watu ulimwenguni (1.2Billion) ni nchi ya pili kwa utajiri duniani......Idadi ya watu pia ni utajiri na nguvu kwa dola, ikiwa na viongozi wenye vision.....wafrika hatuna viongozi!!!
 
Kama hukupata wasaa wa kukipitia kitabu cha "Why Nations Fail by Daron Acemoglu and James Robinson ", kitafute ukipitie. Kama ulikipitia, kipitie tena
 
Kwa hiyo utajiri ndo kipimo cha maendeleo siyo
Unafikiri unafanana nae? Hata robo ya maendeleo ya mwarabu hakuna nchi ya kiafrika imefikua.Mafuta tu yamewatajirisha warabu.kuna msukuma mmoja aliebahatika kwenda misri na kuishi huko, Alikuwa akihadithia vijiji vya misri ndio kama mikoa yetu.Umeme maji vilipeldkwa zamani sana.

Kuna baadhi ya nchi za kiarabu hawalipi hata kodi mfano Qatar.Dubai nayo imeendelea sana.Warabu sio saizi yetu kabisa, ndugu zetu wa kiarabu hapa Tz husaidiwa na warabu wenzao huko uarabuni .Mwarbu alibweteka kuwekeza kwenye teknolojia ila anayo hela ya kununua teknolijua yoyote duniani.Mwarabu atafilisika pale mafuta yatakapokuwa sio dili.Kingine kinachowarudisha nyuma ni vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another big burden of African is trust, If you get one out 10, don't let he/her loose.
 
Afrika tukiweza kujitosheleza kwa chakula na kufanya biashara kati yetu tutapiga hatua kubwa sana ki maendeleo.

Hatujaweza kukidhi soko lets la chakula nguo na madawa.

Bado tunatumia kilimo cha jembe la mkono. Kutegemea madiliko ya kilimo hapa nishughuli.

Sehemu kubwa ya ardhi haitumiwi kuzalisha.

Bidhaa zetu hazifungwi katika ubora wa kimataifa.
 
Ona vitoto vilivyo vingi kama utitiri! Vimekondeana sijui vina unyafuzi?

Punguzeni kuzaa zaa hovyo mnatengeneza mzunguko wa umasikini usiokwisha kwenye familia na kwa taifa zima kwa ujumla!

Watu wazae kwa kiasi! Umasikini hautakwisha kwa aina hii ya uzaaji usio na mipaka!
Hili wazo lako lenyewe limetokana na ukoloni.

Aliekwambia kuzaa watoto wengi Au kuwa na idadi kubwa ya watu nchini ndio umasikini ni nani?

Kama idadi ya watu ndio kigezo basi china ingekuwa Taifa masikini kuliko Taifa lolote duniani, india, Marekani, Japan nk.
Na kwa upande wa Afrika Nigeria ingekuwa nchi masikini zaidi kuliko zote. Badala yake sasa ni kinyume chake, Nigeria nchi yenye idadi kubwa Afrika ndio inaongoza kwa ukubwa wa uchumi Afrika ikifuatia na Afrika kusini.

China ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi Duniani pamoja na kuwa ndio nchi yenye idadi kubwa ya watu Dunia nzima.

Marekani pamoja na idadi kubwa ya watu ni nchi ya kwanza kwa ukubwa wa uchumi.
Nchi zingine ni kama; india Canada Japan nk.

Nchi yoyote yenye idadi kubwa ya watu ikaweka sera safi ya rasilimali watu na kuwatumia watu wake kama nguvu kazi kwenye uzalishaji sekta zote, kuwatumia watu wake kama soko la kwanza la bidha zake zinazizalishwa ndani, kukusanya kodi, nk lazima nchi hiyo iendelee.

Hivyo hivyo na kwenye familia, kanuni ni ileile. Ukikuta una familia kubwa na wewe ni masikini basi ujue umasikini watu upo kwenye ubongo kama baba na sio vinginevyo.

Nadhani hapo tumelewana mkuu.
=#####=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili wazo lako lenyewe limetokana na ukoloni!!
Aliekwambia kuzaa watoto wengi Au kuwa na idadi kubwa ya watu nchini ndio umasikini ni nani?

Kama idadi ya watu ndio kigezo basi china ingekuwa Taifa masikini kuliko Taifa lolote duniani, india, Marekani, Japan nk.
Na kwa upande wa Afrika Nigeria ingekuwa nchi masikini zaidi kuliko zote. Badala yake sasa ni kinyume chake, Nigeria nchi yenye idadi kubwa Afrika ndio inaongoza kwa ukubwa wa uchumi Afrika ikifuatia na Afrika kusini.

China ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi Duniani pamoja na kuwa ndio nchi yenye idadi kubwa ya watu Dunia nzima.

Marekani pamoja na idadi kubwa ya watu ni nchi ya kwanza kwa ukubwa wa uchumi.
Nchi zingine ni kama; india Canada Japan nk.

Nchi yoyote yenye idadi kubwa ya watu ikaweka sera safi ya rasilimali watu na kuwatumia watu wake kama nguvu kazi kwenye uzalishaji sekta zote, kuwatumia watu wake kama soko la kwanza la bidha zake zinazizalishwa ndani, kukusanya kodi, nk lazima nchi hiyo iendelee.

Hivyo hivyo na kwenye familia, kanuni ni ileile.

Ukikuta una familia kubwa na wewe ni masikini basi ujue umasikini watu upo kwenye ubongo kama baba na sio vinginevyo.

Nadhani hapo tumelewana mkuu.
=#####=

Sent using Jamii Forums mobile app
Usinipe mifano ya china! Nipe mifano ya hapo kwenu! Kwani nyie ni china?

Mnapenda kuzoa zoa tu mifano bila kutizama contextual applicability!

Ohhh china that china this, wakati watu wenu wanakufa kwa umasikini na njaa kwa sababu ya kuzaa hovyo na kushindwa kumudu familia!

Watoto wanaozaliwa hapo nao wanakuwa masikini, hawana ajira, hawana kazi, hawana elimu wala ujuzi.

Na wao wanazaa watoto wengine katika umasikini ule na kuendelea kukuza cheni ya umasikini!

Cheni ya umasikini haiishii pale! Itaunganisha taifa zima na kutengeneza mamilioni ya makapuku na malofa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui uelewa wako kuhusu uchumi ila Nigeria haifikii kabisa Mexico,Yaani kwa kifupi ni hakuna nchi ya Sub Sahara africa iliyoifikia nchi ya Latin America kwa maendeleo except South Africa ambayo imeendelezwa na makaburu

Hawa watu wako Nchi gani hapa Duniani?

 
Mleta Mada, kama waafrica ni maskini! mbona Alexander the great hakupigana vita kwenda kwa matajiri wenzie wa Ulaya na Asia ya kaskazini akateke mali za huko? badala yake akapigana vita kuelekea Africa Kaskazini yote? ili iweje?

Haya kwa nini aliweka makao yake makuu Africa kwa maskini? tena akafia Africa? kwa nini hakurudi kuishi kwao? sisi ni maskini sawa wanataka nini kwa maskini mpaka waanzishe hizo vita zoote! kwa mamillion kuteketea,

Maskini wa kutupwa, hohe hahe hawa km AL shaabab, vikundi vya kiharamia Nigeria ya leo , Kenya, akina Joseph Konyi, Marehemu Garang, usimsahau Savimbi, Alfonso Dhalakama nk, walifadhiliwa na nchi gani za Kiafrica kwa faida ipi?

Hao wahuni wanapata/walipata wapi siraha/logistics za vita na kukaa msituni bila kuzalisha miaka kibao, wanakula na kunywa, kifupi wanaishi raha mstarehe wanaingia na kutoka kirahisi, hakuna Tajiri mweusi Duniani anaweza fadhili makundi ya hivi bila kufilisika!

Walio fadhili ni hao hao walio kufundisha wewe kukopi na kupaste huu ujinga!! bila kufikiri. watua che tu sisi kama sisi waafrica kwa jinsi tulivo na ujinga wetu, na huo wanao dhani ni umaskini yaani wasituguse miaka 50 tu mbele! tutakuwa zaidi ya Ulaya.

Afrika iliyo pata uhuru kutoka kwa Mkoloni ikiwa haina hata Barabara nzuri miaka si zaidi ya 60 iliyo pita leo Tanzania ni lami nchi nzima, tuna viwanda, mijengo ya maana tunajitegemea, Migari yoote hii!! na Mielimu bwerere, miprofessor ya kufa mtu!

uhuru wooote huu wa kufanya unachotaka bado unalilalia tuu!! sema tu usiogope Mungu amekupiga kofi! tanzania ya leo ni fanya unalo taka nenda popote ni wewe tu! bado unajinyea tu! sema wewe ndo maskini Mungu amaku-shit!!

Angalia tumeelimika mpaka basi mivyuo vikuu ndo usiseme, hapo ni miaka 55 tu ya Uhuru!, pamoja na matatizo ya kushikiwa km vita ya uganda! vita Ukombozi wa bara la Africa, tuko hivi na mahela kibao, miji Elimu ndo usiseme wasingekuja je? si tungekuwa mbali?

Kama hjui nusu ya Waafrika wakazi wa Bara hili walichukuliwa utumwani kwa mbinde na hila tena nchi walizo kaa na kutumikishwa ndo zimeendelea kiuchumi na kijeshi super power countries mpaka leo mpaka kesho! hao unaoona matajiri walitajirishwa na weusi!

Na bado wanatuhitaji kuliko unavo dhania, sasa hivi wanaisha na COVID mahitaji yanaongezeka! wewe kaa hapo na shipa lako hilo unalialia! km ulirogwa na bibi yako usiendelee ni wewe! kwa nini hukutoroka?

Hao ndugu zako Wakoloni pamoja na mielimu yao mikubwa mikubwa na mitaji bwerere, walikaa humu miaka 100, waliacha nini cha kukumbuka? achilia mbali miaka 400 ile ya utumwa. Leo unatoka Cairo mpaka cape town, kwa gari aina ya beattle! unafika salama kabisa!

Utajiri siyo mpaka uchimbe madini, sijui uwe na Uranium km wanavo fanya wao big no. sisi tunaweza kunyonya Hydrogen kutoka angani na tuka fanya makubwa! tena tuka ishi raha mustarehe! Africans tunajua kuna sayari mpaka sasa hazija guswa hazina majina lkn kuna maisha mazuri,

Tatizo lako u mtoto wa mwisho katka familia yako ndo maana unalia lia tu! umemezeshwa ujinga mpaka sasa umevembewa eti Africa ni maskini kweli??? Umaskini wako huko huko tuko vizuri pamoja na weupe wako hao kutu bania sana tutachomoka tu!

Covid zitakuja tena na tena! zitawatafuna wao sisi aaahe! kadri wanavotuletea magonjwa Vita na njaa! kejeli km hizi zako ndo tunazidi kuwa wengi. kila kitu wataacha ajili yetu!

Angalia sasa hao mabebru wako walivo dhaifu kimwili wanakufa hovyo na Mafua, Itafika mahala waafrica tutakuwa Normal flora carrier wa COVID wakitugusa tu wanaipata tunanuka mbaya, ndo mabeberu wako wanaisha ivo! hawana ujanja.

Hizo Nuclear plants sasa wataishi popo!! Wamepandikiza cholera sijui Ebora weee! miaka kibao vikadunda! sasa nakuuliza wewe mleta mada sijui umesomea richuo ra wapi? risirojua kuchambua mambo!!! ... ni wapi hapa Duniani Afya bora siyo mtaji??

Yaani unatamani maisha ya wale wagonjwa wa akili na mwili?? ili uwe mgonjwa km wao au? Mosi vilema wale Hawana Melanin za kutosha km zetu! hawawezi kuishi popote bila dawa za ngozi!

Kwanza hawawezi kula ugali na ndezi bila kuhara damu! wakila kuku mchemsho utawahurumia! lkn sisi vyakula vyao, ukichanganya na vyakula vyetu tunagonga, kama kawa! sasa hapo nani Binadamu asilia?

Walikuzuga tu eti wao matajiri, Tajiri afya mbovu??? hujuimkale kawimbo ka nyerere Mtu ni AFYA??? wanakula kitajiri kumbe wanaficha udhaifu wao na wewe ulivo ndezi ukaona huo uongo ni sawa!

hayo masiraha mengi na kujitutumua nayo wanaficha udhaifu wao tu!! hawataki mweusi aguse huko wanafichaa! sana, Aliens kutoka sayari zingine hawataki waonane na waafrica! wanawaficha sana.

Wanatuonea gele tunavo ishi bila vikwazo ndo maana walikudanganya eti sisi ni Maskini, Nyumba za nyasi hawawezi kuishi, wala kulala watapata ukurutu faster! sisi tunaweza ishi tena vizuri tu kwa afya!

ila tumewaiga!! kujenga km wao! eti ukishindwa kufanya kama wao wewe ni maskini, zile nyumba tunge ziendeleza kama wenyeji wa Musoma ni nzuri zinatufaa,

Sawa africans hapo hapo maskini wakati nakula uji ya ulezi/mtama safiii na mtindi?? nakula mapande palee samaki samaki Mwenge, na kaugali kamuhogo, Mighebuka mchemsho tena ya leo leo!

Sasa wewe kazana na Caned fish za Canada eti ndo utajiri utaishia kupata cancer tena ya kiuno! uone km Mwajuma hataondoka!! eti unadhani ndiyo maendeleo! kwanza wao hao ndugu zako ndo hawajaendelea kama sisi.

kutwa kucha kutengeneza siraha ili walete mtafaruku tena wanatamani watuue! tufe hata wewe watakuua tu hawajali ukibaraka wako wale. Wale ni total Beasts nephilim km hujui, na mtu anae muunga mkono beast ni beast tu!

Najua utasema ooh! siwaungi mkono, naongelea umaskini Big no! tangia leo nakutaka ujue sisi watu waafrica weusi siyo Maskini, km ulivo karirishwa!! na ulivo na akili finyu ukalibeba km lilivo!!

Umaskini wa kwenu huko Mahurunga wa kushindwa kujielewa si wetu wote!! Funguka!!!
 
Hawa watu wako Nchi gani hapa Duniani?


Unatuletea habari za wacheza cinema za Apocalypso! Msitu wa Amazon uko ukanda wa Ikweta, hapo ni joto lisilo faa kwa ngozi ya weupe bila dawa, je mtu asiye kuwa na Melanin za kutosha km hawa atahimili kukaa uchi km hawa kwanza hali ile ina haribu reproduction system!!

Maisha km haya aliweza mwafrika tu Duniani kote! wengine hawa wanaigaiga tu! km Israel ya leo wanavo jifanya eti walichukuliwa utumwani Misri na Duniani kote! jamani heee!!

Dunia hii ukiijulia Raha sana. hawa nao ni vichekesho vya mwaka wanapenda yale maisha ya shida aliyo pitia muafrica wanaona km catalogue duuu!.....
 
Hawa watu wako Nchi gani hapa Duniani?


Unatuletea habari za wacheza cinema za Apocalypso! Msitu wa Amazon uko ukanda wa Ikweta, hapo ni joto lisilo faa kwa ngozi ya weupe bila dawa, je mtu asiye kuwa na Melanin za kutosha km hawa atahimili kukaa uchi km hawa kwanza hali ile ina haribu reproduction system!!

Maisha km haya aliweza mwafrika tu Duniani kote! wengine hawa wanaigaiga tu! km Israel ya leo wanavo jifanya eti walichukuliwa utumwani Misri na Duniani kote! jamani heee!!

Dunia hii ukiijulia Raha sana. hawa nao ni vichekesho vya mwaka wanapenda yale maisha ya shida aliyo pitia muafrica wanaona km catalogue duuu!.....
 
MIMI NAAMINI KWAMBA:
KUNA KUWAKO NA MIAKA SABA YA NEEMA, NA MIAKA SABA YA UHARIBIFU;
MIMI NAAMINI KUWA JITIHADA ZA BINADAMU HAZIWEZI KUSHINDWA KUDRA (QADAR) YA MWEZIMUNGU (ALLAH).
MIMI NAAMINI KUWA HAKUNA MAISHA MAGUMU ILA MIPANGO BINAFSI TU.

HAYO MENGINE UFINYU TU WAKUAMINI KILA KITU WANACHOAMINI WENGINE
 
Some Africans have attributed their poverty to various reasons ranging from colonization, government corruption, their black skins and other flimsy reasons but none of these reasons are justifable enough for many Africans to be impoverished owing to the abundant natural and human resources found in this continent.

4fe2d204ce5fd4e801315dfebab633bd

6213aed3edca4a703d3718e98874312a

5e2b7317749158546e584686d78871e6

The above pictures depict the ugly state of poverty in some African countries. I have listed out 3 major reasons why Africans are poor and some are even extremely poor..

#1. Africans are illiterates: Most Africans regrettably don't read or learn again after their higher education. Education in its real sense isn't about bagging degrees, masters and PhD. Education is about being curious and enthusiastic enough to learn, relearn and unlearn. Education starts when schooling stops. Africans believe so much in the white man school system which has keep them poor till now. The white man school system is designed to program your mindset to be an employee, look for a job and die broke. I think the time is overdue for Africans to take their destinies in their hands and start learning again about what works for Africa as a continent and what works for the African person. Let us bring back learning to our school and do away with schooling.

#2. Most Africans have a kind of dependent spirit: Africans, sorry to say are found of shifting blames and hoping that someone will come and rescue them someday. No matter how much help you get from people, there is no help greater than self help. Africans should help ourselves and start taking responsibility for their actions because as a continent, we don't deserve any foreign aid from any foreign country.

#3. Africans have unrealistic Expectations: Most Africans are living in the dream world that good things come cheap and easy. Success that would last don't come overnight, it must be worked for and earned. The reason why most Africans are leaving the continent in their millions is to get a better life which they think is easy. The truth is that it is not easy anywhere at all. You have to work for your money no matter the foreign country you are traveling to. Money aren't found on the streets of America or London, so Africans should wake up from their easy gratification mindset and work smartly to drive away poverty from this great continent.
Watu kama wewe tatizo ni wachache ila umhimu wao huonekana hta kwa huo uchache wao,Hongera!
 
Ona vitoto vilivyo vingi kama utitiri! Vimekondeana sijui vina unyafuzi?

Punguzeni kuzaa zaa hovyo mnatengeneza mzunguko wa umasikini usiokwisha kwenye familia na kwa taifa zima kwa ujumla!

Watu wazae kwa kiasi! Umasikini hautakwisha kwa aina hii ya uzaaji usio na mipaka!
Weak point..
 
Bob Marley said it all when he sung:-

Emancipate yourself from mental slavery ...

I quite agree with your 3 reasons. But you left out the most important one:- MENTAL SLAVERY

When an African is spiritual, he becomes a slave to his belief so much so that he refuses to acknowledge the fact that belief without proper action doesnt lead anywhere.

When an African believes in witchcraft, he wants the witchcraft demons to bring him money while he has not worked dilligently. Same with the deeply devout believers in religion- they think if you pray God will somehow bring money to you even if you do your work badly.

Most Afticans are slaves to the idea that Africans are BY NATURE inferior in their capabilities. They do not, for instance, think of ways they can enrich themselves by using the vast mineral deposits that the have. Just imagine ! An African country will allow foreigners to dig their gold or other precious metals and be VERY HAPPY TO RECEIVE A 3% ROYALTY. If that is not mental slavery to stupidity what is it?

Unless we Africans emancipate ourselves from mental slavery, we are doomed to remain poor till eternity comes and goes !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom