3 Eastern Africa countries in top 10 best economies (Kenya, Ethiopia na Tanzania)

Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
10,168
9,536
I have looked in the 2020 GDP list, sub-Saharan Africa has 7 countries in top 10 of which 3 are in Eastern Africa: (Kenya, Ethiopia and Tanzania).

Africa’s Top 10 wealthiest countries ranked by GDP | IT News Africa - Up to date technology news, IT news, Digital news, Telecom news, Mobile news, Gadgets news, Analysis and Reports

Debates aside, to me this is great news! A place of opportunities and personal investment kwa wale wa kujituma, Uganda is not badly off it's in top 20. Rwanda though small, is coming up good, South Sudan are stabilizing, Somalia ndio mwiba, though its people are aggressive. In comparison to the rest, we beat western Africa and Southern Africa(as far as growth is concerned). Therefore Eastern Africa is the place to be, in the next 10 to 15 years I wonder what East Africa will look like! A chance to reduce poverty by creating more opportunities by the growths.

Economies of Nigeria and South Africa are growing at a slower rate, at times they post negatives. Eastern Africa has the fastest growing economies. Which as I perceive(excluding corona menace) it won't slow any time soon.
 
A better place to be with kenya, ama nchi gani? Nyinyi mlivyo na wivu, roho mbaya, mnafunga mipaka na kufubaza biashara, alafu unasema is a good place to invest. EA tungekuwa mbali zaidi ya hapo isipokuwa nyinyi ndo hurdle!
 
A better place to be with kenya, ama nchi gani?nyinyi mlivyo na wivu,roho mbaya,mnafunga mipaka na kufubaza biashara,alafu unasema is a good place to invest.EA tungekuwa mbali zaidi ya hapo isipokuwa nyinyi ndo hurdle!
Nadhani hoja ya mleta mada ilikuwa inawalenga wanabiashara ambao shughuli zao huwa wanazifanyia hapa AM. Sio nyinyi makajamba ambao hamjatia mguu wenu nje ya vijiji vyenu. Unasema Kenya ndio kikwazo wakati ipo @ $98.6B na Tz mnaisoma namba mkiwa $62.2? Muda sio mrefu Kenya itagonga digit sita kama Morocco na wenzao kwenye Top 5.
 
Ndugu tusiweke Morocco kwenye sentensi moja na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is your visionless backward CCM regime, go whine somewhere else or hug a post. Those with eyes like those of an eagle to see beyond political shenanigans and with ears like those of a fox to hear beyond the whispers, will get it and make it as your backward mind blinded by ignorant patriotism is condemning u to stupidity and poverty. Grow up, the world is become small not merely Tz nor Africa.
A better place to be with kenya, ama nchi gani?nyinyi mlivyo na wivu,roho mbaya,mnafunga mipaka na kufubaza biashara,alafu unasema is a good place to invest.EA tungekuwa mbali zaidi ya hapo isipokuwa nyinyi ndo hurdle!
 
What is Morocco having special?., such an economy haina future in Africa., growth rate imepungua, gap inapunguka, they are not far from us unlike Tz, so meza wembe. Oil is their major income apart from tourism and others., now oil ain't doing so well.
Ndugu tusiweke Morocco kwenye sentensi moja na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weuh! Let me guess;
-Tz is 3rd in East Africa after Ethiopia.
-Tz takes position 10 out of 10 wealthiest.
-How does Ghana a country of 30million people manage to beat Tz a country of more than 60 million people?
joto la jiwe Bantugbro tuusan
Hii ndio GDP ya kwa ground?
Ghana beat you in gdp per capital why you don't wana talk abt it?The same Country with 30M pop
 
What is Morocco having special?., such an economy haina future in Africa., growth rate imepungua, gap inapunguka, they are not far from us unlike Tz, so meza wembe. Oil is their major income apart from tourism and others., now oil ain't doing so well.
Kumbe kiswahili unakijua....Sasa unajisikiaje kua cultural slave i.e language assimilated

Au huko Kenya mtu akiongea kakingereza Kama kako ndo anaonekana civilized!!....

Mwe utumwa wa kifikra
 
sawa brathe, kiswahili is an assimilated language pia, kwa ajili ya biashara developed enzi zile wewe musukuma , it is quite irrelevant globaly, not unless East Africa becomes a global power in business, which may not happen in our time, now English is the language of business across., ata ukitaka kununua mali China utatuma ombi kwa kizungu wala sio kwa kichina.,, elewa dunia ya sasa wacha kushikilia kile ambacho hakitakusaidia sana, be liberal, know many languages, Kifaransa, kijerumani ki China na kadhalika.
Kumbe kiswahili unakijua....Sasa unajisikiaje kua cultural slave i.e language assimilated

Au huko Kenya mtu akiongea kakingereza Kama kako ndo anaonekana civilized!!....

Mwe utumwa wa kifikra
 
Back
Top Bottom