3 Eastern Africa countries in top 10 best economies (Kenya, Ethiopia na Tanzania)

What is Morocco having special?., such an economy haina future in Africa., growth rate imepungua, gap inapunguka, they are not far from us unlike Tz, so meza wembe. Oil is their major income apart from tourism and others., now oil ain't doing so well.
Morogoro is a First world Country, Kenya is a Third world country, Comparing Kenya with Morocco is ni Wenzawazinmu,
Tazama hiyo Video na uone aibu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa chako kimeharibika. Morocco wana Gdp ya $120 billion na Kenya tuna $100 billion. Hakuna tofauti hapo mkuu.
GDP even Nigeria Got Huge, infact Lagos GDP is bigger than the Entire Kenyas, but Nairobi can look developed than Lagos, sio?
Morocco is a first world Nation, sio huo utopolo wa wenu
See the Video


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morogoro is a First world Country, Kenya is a Third world country, Comparing Kenya with Morocco is ni Wenzawazinmu,
Tazama hiyo Video na uone aibu


Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote yanahitaji matumizi mazuri ya fedha za serikali na wawekezaji,Under JPM naamini tutasogea sana...
Btw South Africa ni bomba zaidi esp sandton ni balaa
 
Soma historia ndugu, kabla mzungu hajaja na kuibuni Tanzania, Mwarabu kwa ushirikiano na wabantu alikua ameshabuni Kiswahili, hivyo hamna jinsi Tanzania iliyobuniwa baadaye sana ije ihodhi hati miliki ya Kiswahili.

Wote hata Nyerere walikikuta.
Yote kwa yote Tz ndo bingwa wa Kiswahili duniani!
Kenya ni mabingwa wa kiswanglish!
 
Yote kwa yote Tz ndo bingwa wa Kiswahili duniani!
Kenya ni mabingwa wa kiswanglish!
Mngekua mabingwa hatungekua tunawawahi kwenye fursa zote za kufundisha Kiswahili kote duniani. Tunawazidi kwenye uandishi na ufasaha ila nyie mnatuzidi kwenye kukitumia mtaani, lugha ya akina buku jero na maneno mengine ambayo mumebuni huko.
 
Mngekua mabingwa hatungekua tunawawahi kwenye fursa zote za kufundisha Kiswahili kote duniani. Tunawazidi kwenye uandishi na ufasaha ila nyie mnatuzidi kwenye kukitumia mtaani, lugha ya akina buku jero na maneno mengine ambayo mumebuni huko.
Hehe eti fursa! Wakati ya South Africa,Ethiopia, China etc tumezikamata sisi! Nyie mmekula dili la wapi?
Hata link ukitaka ntakupa.

Yaani Mk amzidi MTz ufasaha wa Kiswahili! Acha bhange basi.
 
Here is the list:
1) Nigeria $450 B
2) south Africa $360 B
3) Egypt $300 B
4) Algeria $170 B
5) Morocco $120 B
6) Kenya $99.8 B
7) Angola $92 B
8) Ethiopia $91 B
9) Ghana $67 B
10) Tanzania $62B

Morocco growth rate has been slow at an average of 2.3 % to 3% over the last 10 years while Kenya has averaged a consistent annual growth of 5.5% over the last decade. Kenya is projected to get to $115 B in 2021 and $122 B by 2022, while morocco is projected to be at $130 B by 2022. By 2022 the GDP difference between Kenya and Morocco is projected to be only $8 B.
 
Morogoro is a First world Country, Kenya is a Third world country, Comparing Kenya with Morocco is ni Wenzawazinmu,
Tazama hiyo Video na uone aibu


Sent using Jamii Forums mobile app
Africa hakuna first world country, nyie vipicha vya modern infrastructure makes u think eti first world, do u really know Morocco? Afadhali ungesema Algeria, ama kwa sababu ya "bullet" train? yenye raiya wengi wa Morocco can't afford, get proper info about Morocco, hali halisia ya raiya wake. Your reasoning inachekesha
 
Africa hakuna first world country, nyie vipicha vya modern infrastructure makes u think eti first world, do u really know Morocco? Afadhali ungesema Algeria, ama kwa sababu ya "bullet" train? yenye raiya wengi wa Morocco can't afford, get proper info about Morocco, hali halisia ya raiya wake. Your reasoning inachekesha
Morocco built that train track specifically for tourism anybody who thinks Morocco is a first world is clearly a category 5 moron. Do not waste your time with such individuals who reason like sewer rats. The moroccan economy is highly dependent on resources and tourism all of which are taking a huge dent from the pandemic. Their economy is not diversified enough.

Kenya's growth is pegged on trade. Diversification and a strong consumer base relative to most african countries are what keep the Kenyan economy active without minerals.
 
A better place to be with kenya, ama nchi gani? Nyinyi mlivyo na wivu, roho mbaya, mnafunga mipaka na kufubaza biashara, alafu unasema is a good place to invest. EA tungekuwa mbali zaidi ya hapo isipokuwa nyinyi ndo hurdle!
Yaani jamaa kaleta topic nzuri kwa roho safi kabisa lakini comment ya kwanza ni wewe mnafik alafu unatuita sisi ndo wenye roho mbaya, Kama ungekua na roho nzuri, topic kama hii ungechangia vizuri manake huyo Yosef Festo katuunganisha sisi sote kama East Africa VS West Africa..

Alafu kukujibu hoja yako, siku zote nchi ambayo ina uchumi mdogo ndo inazulia nchi yenye uchumi mkubwa kwenda mbali zaidi, Hata ukiangalia nchi kama South Africa, inaangushwa na majirani, Kama majirani wake wangekua matajiri, kungekua na competition na pia nchi zengine zingekua na uwezo mkubwa wa kununua bidhaa za SA... SA ingekua ilifikisha 2 Trilllion dollars by now badala ya kukwama kwa $350Billion kwa karibu miaka 10 sasa.

Vile vile hapa EAC, kama Tanzania, Uganda wangekua na uchumi wa maana, kungekua na opportunity nyingi sana za kufanya biashara manake watu wangekua na uwezo wa kununua bidhaa kwahivyo makampuni yangekua yanajengwa kila mahali, pia kungekua na competition kali hakuna nchi ingetaka kuachwa nyuma... lakini vile hali ilivyo Kenya imekua ikiongoza kiuchumi kwa mda mrefu hadi tumejisahau tunakua wavivu na wazembe manake hakuna jirani yeyote anayetutishia kiuchumi sasa inakua hata sisi wenyewe hatujishughulishi manake tuko comfortable pale tulipo, lakini tungekua na kajirani flani ambako kamefanana na South Korea vile, tungejikaza tusiachwe nyuma angalau tuwafikie hali yao ya kiuchumi!

Leo hii kutokee maabara flani hapo Tanzania wagundue tiba ya corona, Kesho utasikia wakenya wakilalamikia serekali yao mitandaoni wakiuliza mbona Kenya haina maabara kama hio nayo ifanye uzinduzi wa maana, Hio haitakua eti tuna wivu na hio maabara ya Tanzania, ni katika ile hali ya competition, na ushindani wa kiuchumi,technolojia,sayansi kama huo ndo hufanya nchi zikaendelea kiharaka... Sio kama sasa ambapo majirani hamtutishii kwa lolote kwahivyo pia sisi hata hatujishughulishi.....
 
Back
Top Bottom