29 watinga Kizimba cha Kisutu kwa tuhuma za kuchoma Makanisa Mbagala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

29 watinga Kizimba cha Kisutu kwa tuhuma za kuchoma Makanisa Mbagala

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by nngu007, Oct 16, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]Watuhumiwawa vurugu za Mbagala wiki iliyopita, wakiwa chini ya ulinziwa polisi,
  walipofikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa
  mara ya kwanza jana. Watuhumiwa 29, wawili kati yao wanawake, walisomewa
  mashtaka mbalimbali kuhusiana na vurugu zilizopelekea makanisa kadhaa
  kuchomwa moto wiki iliyopita, chanzo ikiwa ni baadhi ya watu wanaodaiwa
  kuwa waislamu, kuandamana wakipinga mtoto mmoja kukojolea Quraan tukufu.
  Dhamana ya watu hao itaamuliwa Oktoba 30.
  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Baadhi ya watuhumiwa wa vurugu zilizotokea Mbagala jijini Dar es Salaam wiki iliyoipita, wakiwa ndani ya gari la polisi walipofikishwa mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Oktoba 16, 2012 kwa mara ya kwanza. Watuhumiwa 29, wawili kati yao wanawake, walisomewa mashtaka mbalimbali kuhusiana na vurugu zilizopelekea makanisa kadhaa kuchomwa moto wiki iliyopita, chanzo ikiwa ni baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa waislamu, kuandamana wakipinga mtoto mmoja kukojolea Quraan tukufu. Dhamana ya watu hao itaamuliwa Oktoba 30.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Akina mama wanaotuhumiwa kuhusika na vurugu zilizotokea huko Mbagala,
  wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, wiki iliyopita, wakishuka kutoka
  ndani ya gari la polisi kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini
  Dar es Salaam jana. Akina mama hao ni miongoni mwa watuhumiwa 29
  waliofikishwa kwenye mahakama hiyo kujibu mashtaka ya kuhusika na vurugu za kuvamia makanisa, kuchoma, kuharibu mali na kuiba.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Polisi aliyejihami kwa bunduki na radio ya mawasiliano, akishika doria kwenye lango la kuingilia chumba cha mahakama ambako watu 29 walifikishwa mahakamani hapo Jumanne Oktoba 16, 2012, wakikabiliwa na mashtaka kadhaa ya kuvamia makanisa, kuharibu, kuiba na kuchoma mali za makanisa hayo wiki iliyopita huko Mbagala jijini Dar es Salaam. Wote wamerejeshwa mahabusu hadi Oktoba 30 ambapo mahakimu waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo, wameahidi kutoa uamuzi juu ya hatma ya dhamana.

  Source: K-VIS BLOG
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Ocheke

  Ocheke JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 274
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  tusubiri hukumu tuone
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Hawa Wananchi wengine hata walikuwa hawajua wafanyacho; Walikuwa Wanafuata Mkumbo
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Mh! Labda...ngoja tusubiri mtondo..
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Madhara ya kusikiliza radio imaan na kina ponda wenzao saaafi wapo tu wanaendelea kubwabwaja
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  Ndio watajiju.. Kina Ponda wanakula bata kwenye ofisi zao ndani ya viyoyozi
   
 7. u

  ureni JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Duu polisi ya TZ deal mbona naona polisi wote hao wameshiba au wamewachagua walioshibashiba wote?
   
 8. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Mbona sioni hata Sheikh mmoja? au hawa ndio wenye uchungu sana na kitabu hadi kimewapa ukichaa wa kuchukua Generator za kanisa, power window za magari yaliyokuwepo kanisani Sadaka na nguo za wachungaji...

  Hii kesi sijaelewa ni ya fujo,dini au wizi? ,wishowe tutakuja sikia jamaa wote waligeuka vichaa kwa wakati ule wa tukio tu ndipo wakafanya hayo matukio...

  Makanisa kumi hawa jamaa ni wa kulipiziwa kisasi na wao wasali kwenye mavumbi kama wenzao...

  Kisasi kisasi ndio msemo mpya...
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  mbona yule mama aliyekuwa analia lia siku ile kwenye ITV hakukamatwa? Wamtafute yule inawezekana ndiye aliyeiba sadaka
   
 10. Ben Nyangarya

  Ben Nyangarya Senior Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 152
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ndiyo wajue faida za bendera hufuata upepo! Labda walikuwa na lingine zaidi ya hilo!

  Wahamasishaji wa shughuli nzima wapo wapi? Walitokea msikiti upi? Yote hii ni uwezo duni wa kutafakari na kutatua matatizo, utafikiri wendawazimu!
   
 11. Ben Nyangarya

  Ben Nyangarya Senior Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 152
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  ..... yule wamsamehe tu, kama si huyo nayeona ndani ya baibui! pale tu, alionekana kuwa mwehu! kuna haja gani ya kumshtaki mwehu?
   
 12. Ben Nyangarya

  Ben Nyangarya Senior Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 152
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Watafuteni waandaaji wa zoezi zima, kwani hawajulikani?
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  Mwehu? Yule mzima kabisa yule..brain washed tu
   
 14. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tena na yanga walikuwepo kama kawaida
   
 15. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hawa ni wahuni tu si waislam ngoja tuone majina yao utakuta mchanganyiko. They just took advantage of the circumstance to loot. They are looters
   
 16. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  Kila siku huwa nasema sikubali kutumika hata kama mimi ni muislam!!
  Waliopanga wamelipwa sasa waliotumika kukiona cha moto! ujinga mtupu
   
 17. Ben Nyangarya

  Ben Nyangarya Senior Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 152
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  hahahaa! ..ndiyo uendawazimu wenyewe huo!
   
Loading...