Ndugu wanajamvi wale wadau waliomba nafasi za kazi - The Tanzania Petroleum Development Corporation(TPDC), watu 261 wameitwa kufanyiwa usahili kuanzia 17/12/2012 hadi 21/12/2012, venue ni Mikocheni Staff Housing Estate: Source by Mwananchi Jumapili.
yaleyale ya utumishi,nafasi moja watu 500
Applicants for the post of LIBRARIAN II, wameita watu 12, RESEARCH OFFICER II watu 17, HUMAN RESOURCES OFFICER II watu 45, PERSONAL SECRETARY II watu 6, PUBLIC SECTIONS OFFICER II 48, GEOPHYSICIST II watu 4, LEGAL OFFICER II watu 29, GEOLOGIST II watu 6, na SYSTEM ANALYSIST II watu 94!.., kazi kwenu watahiniwa... Anzeni kuanda tai na suti zenu, bahasha ya kaki mpya ya kuweka vyeti orijinali, siyo kopi n.k
Alafu naona ni namna ya pannel kura ela tuu ivi unaitaji watu wote hao wakati wanaoitajika hawafiki ata robo yake
Huu ni ufisadi tena wa kuukemea maana wanaweza spend wiki wakiwa interview hao uku allowance zikiingia uhuni huu
Inaonekana Geologist ndio mpango mzima maana wahitimu wako wachache sana kwa sasa kwenye vyuo vikuu,hata walioomba hapo TPDC ni 6 tu,matatizo yapo kwenye IT ni b alaa hadi upenye na kupata kazi ujue wewe umetokea kazini sehemu ingine!experience
hivi dg wa tpdc ni nani?
PM sent....uliomba post gani? Wewe ni ME au KE, fafanua ili tukuwekee initials.