26/11/2011 Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya kambi ya Jeshi Monduli ealy morning! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

26/11/2011 Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya kambi ya Jeshi Monduli ealy morning!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Nov 25, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hbr nilitonywa ndani ya kambi ya (C.T.U) zamani na leo inatambulika ni T M A, Tanzania Miltary Academy inasema Amri Jeshi Mkuu kesho atakuwepo pale kambini na atawatunuku NISHANI maafsa kadha wa jeshi. Huyo ndiyo jk jamani na ajuwe kbs waraka wa wanajeshi 2,858 wametoa warning kwake na wapo humo humo. Jamani wanaJF nikasema niwajuze ndg zanguni mjuwe ndg ye2 atakuwa anatalii hapa A town ila sijui kama atalala pale Ngurudoto km zamani maana naona kama ameipa likizo Arusha yake. NAWASILISHA!!
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,944
  Trophy Points: 280
  Mkuu hivi hii warning ilikua serious?
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu nawe, hata mimi nasikia hivyo kuwa kesho JK atashukia Arusha Airpori tayari kabisa kwenda kuwatoa maafisa wanaohitimu mafunzo ya kijeshi kwa ngazi ya luteni ussu.
  Hayo mengine chanzo changu kilichopo Arusha cha kuwa atalala wapi bado hakijaweka wazi lakini bila ya shaka hata lala Arusha kama ilivyo kawaida.
  Mliopo Arusha heshima kwa mkuu wa nchi jamani.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kamanda wangu! Ngoja tuwasubirie wenye nazo maana hakika wapo humu jamvini na ndiyo maana nimeikubali Jamiiforums Kamanda wangu! Piga kimya kwn watakuja wenye full data!
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Habari ni habari, saizi akaibuka mtu anaelekea kukufahamu akasema HorseShoe chunga nitakuua hata kama unajiamini una kila kitu lakini hutapuuzia.
  Hivyo pamoja na kwamba waraka ule ulikuwa wa kizushi lakini haupaswi kupuuzwa.
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Apige kimya siyo, hiyo nimeipenda kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeb!
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,944
  Trophy Points: 280
  Juzi nilikua kwa kina Chrspy mtaa wa pili hapo nikasikia wajomba wamemtingisha baba fulani...nikasema aah hizi habari za kucopy...sasa naendelea kuunganisha herufi hapa...
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mkuu! Hakuna cha heshima kwa mkuu! Haya maisha aliyotujengea kwa manufaa yake yatosha kbs! Mkuu hatuko naye kbs!
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Na mwenyeji wake atakuwa mbunge wa Monduli(Jina simfahamu)
   
 10. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mi naona shughuli hiyo ni ya kawaida sana kwa rais. Hakuna cha ajabu hapo labda kama ataongea na makamanda kwa siri. Ndipo unaweza kuhisi kitu.
   
 11. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  ndani ya monduli..., atawapa kiapo maafsa wapya, si lazma alale.., kama dar ataondoka kesho asbh kwan lazma alale kule??
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni utaratibu wa kawaida ambao upo na utakuwepo kuwa kila kozi ya mafunzo ya kijeshi kwa ngazi ya uofisa ni lazima watolewe na rais.
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nawe Lusambo! Mmmmh! Unanichekeshe Kamanda wangu!
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Sijui anaitwa Ngoyai! Hata Mi haijanikaa jina vema! Na wenye kumjua watatupatia jina kamili la Mbunge mwenyeji wa Monduli.
   
 15. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nadhani anaitwa Edo, jina lake limafanana na yule muuza chipsi wa pale msasani...Edo chipsi.
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hbr nilizozinyaka muda si mrefu ni kwa jk atatua uwanjani hapo Kisongo muda wa saa tatu kamili na mpk oo nusu ila hakuna ule umaarufu wake hata kidogo tena hapa A town. Najiandaa kufika pale uwanja wa ndege Kisongo ila nahisi hatakuwa na md wa kusimama pale kwn ile halaiki ya raia kama enzi yake hakunaga tena.
   
 17. d

  donasheri Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu naomba post ya waraka wa wanajeshi 2,858 na ile barua ya kwenda kwa JK kumpa siku 100 ajiuzulu. Tupate kuziona. Tafadhali.
   
 18. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue siyo kulala. In a political sense mmbunge ndiye anatakiwa ampokee mwenyekiti wake. Je itakuaje wakati kampa mshua ukweli kule Dom? Huoni hawataangaliana usoni!.
   
 19. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,695
  Likes Received: 2,374
  Trophy Points: 280
  Waraakaa!! harakaaa!! nautakaaa!!
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Piga kimya tutaipata tu! Hakuna siri chini ya anga!
   
Loading...