Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
happy birthday to you,
ungechelewa mwezi mmoja kumbe ungezaliwa krismass
Kama kuna Great thinker tunaesherekea siku yakuzaliwa pamoja....HONGERA!!!:hug:
Hongera......ila natamani nikuimbie "Happy Birth Day to You| kwa Kiswahili nashindwa" anybody with idea how to sing "Happy Birth Day to You" in Swahili come up please!
hongera sana
Kama kuna Great thinker tunaesherekea siku yakuzaliwa pamoja....HONGERA!!!:hug:
Asante mkuu....
How about ........
Siku ya furaha yakuzaliwa..
Siku ya furaha yakuzaliwa...
Siku ya furaha yakuzalwa mpendwa Lizzy
Siku ya furaha yakuzaliwa!!arty: