25 Nov

Kama kuna Great thinker tunaesherekea siku yakuzaliwa pamoja....HONGERA!!!:hug:

Happy B/day Lizz,

Sisi wababu maombi yetu wala si mengi..ni wajukuu tu! Tunaogopa kizazi kisitoweke...Kama bado hebu fanya fanya haraka basi Lizz!

DC (1947)
 
Happy B/day Lizz,

Sisi wababu maombi yetu wala si mengi..ni wajukuu tu! Tunaogopa kizazi kisitoweke...Kama bado hebu fanya fanya haraka basi Lizz!

DC (1947)

Hahahaha....asante babu!!
Swala la wajukuu wala lisikusumbue maana yupo mmoja tayari!!!
 
Hahahaha....asante babu!!
Swala la wajukuu wala lisikusumbue maana yupo mmoja tayari!!!

Poa Lizz,

Ila ukumbuke kuwa kazi mliyopewa na muumba ni kubwa sana...Huyo mmoja hawezi kujaza hata kitongoji wakati mliambiwa muijaze dunia..

Fanya fanya bidii basi!
 
Poa Lizz,

Ila ukumbuke kuwa kazi mliyopewa na muumba ni kubwa sana...Huyo mmoja hawezi kujaza hata kitongoji wakati mliambiwa muijaze dunia..

Fanya fanya bidii basi!

Sasa babu nikijaza mimi mwenyewe na wengine je???Tunagawana hilo jukumu bwana!!!
 
Hongera......ila natamani nikuimbie "Happy Birth Day to You| kwa Kiswahili nashindwa" anybody with idea how to sing "Happy Birth Day to You" in Swahili come up please!

Nina wasiwasi na uraia wako mkuu, hujui lugha yako? Tutakupeleka kwa masha ili akuthibitishe kama wewe ni mtanzania.
 
Kama kuna Great thinker tunaesherekea siku yakuzaliwa pamoja....HONGERA!!!:hug:

Sijui tuseme "Happy Thanksgiving" maana namna hii mtu anajikuta anapata zawadi kwa double! Happy Birthday to you and the rest wana JF..wanaoshare siku na wewe.
 
Du, tumeongea mengi halafu tutakasahau hiyo kitu,

Unajua nini FL1, ...Babu alikuwa anapenda sana keki..basi tu siku hazigandi!

Mama FL nlikua nategemea unitengenezee wewe mama....alafu nlikua nadhani kutakua na ka-suprise party kumbe hakuna kitu!!!

Babu unapenda keki alafu hujamnunulia mjukuu.......
 
happy b'day to you!:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
 
Happy Birthday Lizzy
Hope your haveing a wonderfull day so far....
i wish all the best wishes and the blessing..
My God bless you ....
all the years to come be the best years of your life...
 
Happy Birthday Lizzy
Hope your haveing a wonderfull day so far....
i wish all the best wishes and the blessing..
My God bless you ....
all the years to come be the best years of your life...

Asante dearest!
 
Lizzy sorry kwa kuchelewa..and though am late ts from the deepest part of my heart (kutoka matakoni mwa moyo wangu!):
siku yako leo,
siku yako leo,
furahia, shangilia,
siku yako leeeeoooo.....
akilililililili (kigelegele...lol!)
 
Back
Top Bottom