21st Century Cutting Edge Military Hardwares and Machines: Jifunze kwa undani kuhusiana na ndege hatarishi zinazoongozwa na rubani wa mbali (Drones)

Mkuu tunaruhususiwa kushea kwenye makundi ya wasap na facebook kwa kuweka credit
 
8. MASHAMBULIZI YA DRONE DHIDI YA "MAGAIDI"

Katika kuhitimisha ngoja tuangalie baadhi ya wahanga wakuu wa mashambulizi hayo ya Drone, walivyopoteza maisha kutokana na kuvamiwa na ndege hizo za Drone:-

i). Anwar al-Awlak (40)

ii). Mohammed Emwazi a.k.a Muhammad Jassim Abdulkarim Olayan al-Dhafiri a.k.a Jihad John (27)

. Abu Hussain al-Britani (21),

iv). Kamal
Ongezea general Qaseem Suleyman wa Iran
 
Back
Top Bottom