2026 Lazima ICC ikamate viongozi Kadhaa Tanzania

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
2007/8 nilipokuwa internship katika firm ya wakili Ogeto (Kenya) niliona na kushuhudia namna ushahidi/evidence zinavyokusanywa na jopo la mawakili wa ICC imenipelekea pasipo shaka kuamini kuwa 2026 lazima kuna viongozi kwa mara ya kwanza kutoka Tanzania watakamatwa na ICC..

Wanaanzaga pole pole kama hili la Makonda, na sababu zao kuu ni violation of human rights, unyanyasaji, hisia za mauhaji n.k...

Amini nawambieno agents wa hawa watu wapo Tanzania kwa sasa and following each and everything....

Haijalishi kwao itachukua muda gani ila lazima kuna siku ukitoka tu katika nafasi yako wanakudaka... hata ikichukua 20 years....

ni muda mwafaka ukiwa katika uongozi wako uepuke kuingia katika anga zao... ili uzeeni uje kufurahia maisha na watoto wako au wajukuu wako..

but my worry it is too late so far wana list iliyo complete wanasubiri tu 2026 ifike waanze kukamata one by one. and infact chokochoko zao zitaanza 2023 hapo ndio wataanza kukamatwa.
 
Back
Top Bottom