2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

BTW atapita as long as tume ya taifa iko intact na katiba hakuna. Cha muhimu mkae mkijua changes always comes with pains..

,Hakuna mabadiliko bila kumwaga damu endeleeni na itikadi za kuomba huruma ya Mungu tu muone mnavyokufa maskini
We ndo umeelewa kuwa kwa uchaguzi huru na haki hawezi shinda
 
Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,
Shauri nini kifanyike kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi, hayo ya uchaguzi bado mbali sana.
 
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.

Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo.

- Samia hana strongholds hata moja ambayo ina wapiga kura wengi, asikudanganye mtu,ata marekani Kuna strongholds za Republican na Democrats, mgombea yeyote wa Republican anakuwa ashajihakikishia ushindi wa, Texas, Indiana, South Carolina, na Ohio. na Mgombea yeyote wa Democrats anakuwa ashajihakikishia ushindi kwenye majimbo ya California, Illinois, Deleware, Newyork, DC, n.k

Samia hana strong holds popote hapa Tanzania, Kanda ya ziwa hawezi toboa, Kasikazini hawezi toboa, Dar hatoboi, mikoa ya Iringa na Mbeya hatoboi,mikoa ya kusini haielewekagi.

- Maisha magumu Sana aisee, nipo kwenye ground, maisha magumu hatari,watu ata hawajui kuwa Covid-19 na Vita ya urusi imechangia vitu kupanda Bei, wenyewe wanachojua ni kuwa Samia ndo amepandisha vitu, na Samia ata hakemei, anapiga kimya na mwishowe anakuja sema vitu vitazidi kupanda bei. Mafuta ya kula Lita 7000, sabuni mche ni 3500, ngano Ni 2000,n.k

- Ajira hakuna, mmesikia wenyewe juzi kuhusu magereza,afya anaajiri watu elfu mbili, Elimu ambayo ilikuwa na ajira nyingi anaajiri walimu elfu, ajira hamna kabisa, mbaya zaidi wananchi wamekaririshwa kuwa ufisadi umerudi chini ya Samia,

Ili Samia ashinda uchaguzi 2025 hana budi kuteka, kutesa, nyanganya fomu za wapinzani, wawekee mapingamizi wapinzani, kuingiza kura vituoni n.k hapo atashinda.

Huo ndo ukweli whatever you like or not.
Upinzani utapigwa asubuhi kabisa
 
Vita ya uchumi ya awamu ya 5 imetisha na kukimbiza wawekezaji. Bila ya wawekezaji, uchumi unasimama. Wengi walishangilia mikataba kuvunjwa bila kujua madhara yake huko mbele. Mwekezaji gani atataka kusaini mikataba na serikali akijua serikali inaweza kuivunja hiyo mikataba au kutaka mikataba mipya huko mbele?
 
Vita ya uchumi ya awamu ya 5 imetisha na kukimbiza wawekezaji. Bila ya wawekezaji, uchumi unasimama. Wengi walishangilia mikataba kuvunjwa bila kujua madhara yake huko mbele. Mwekezaji gani atataka kusaini mikataba na serikali akijua serikali inaweza kuivunja hiyo mikataba au kutaka mikataba mipya huko mbele?
Kabisa mkuu, Samia amekuta uchumi mbovu hatari, juzi yenyewe alitoa povu kuhusu ajira za magereza, na kusema bill wages ni kubwa mno,,

Hana hela,lakini CCM ndo walishamshangilia Magufuli
 
Nakubaliana na mleta mada kama uchaguzi utakuwa huru na haki.
We ndo umeelewa mie nimesema Kama Kuna uchaguzi huru na haki, Samia hatoboi ndo maana na yeye anakuja na Tume na kamati shikizi
 
Back
Top Bottom