2025 CHADEMA msisuse

Acha uongo upinzani gani una vilaza?. Magufuri alimteua mwana CUF kuwa Katibu Mkuu wa CCM au umesahau. Kuna mawaziri na manaibu mawaziri wangapi wametokea upinzani?. Juzi hapa baada ya kufanya faulo kwenye uchaguzi wakaenda kuwachukua wanawake kumi na Tisa was upinzani na kuwaweka bungeni na kuahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.
Comment iliyoshiba
 
Njia
Huyo Lisu na Mwendazake kuna tofauti gani? Mda wa kufanyia majaribia Nchi na maisha yetu haupo.Hana sifa za kuwa Rais ila mpinzani na mwanaharakati..

Sio kila anaenyanyua mdomo basi awe Rais ,haipo hiyo.
Ndie anaeuzika kwa sasa kwa watz.
Alimkimbiza mwendazake hadi akapiga goti kuomba kura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom