2025 CCM kutumia Isaac Asimov science fiction kumpitisha Makonda kugombea Urais? (Franchise story)

Na kipindi hicho wadau wakilalamika kuwa inakuwaje anatoka msukuma anaingia msukuma, nadhani kwa mara ya kwanza mmoja ataukana usukuma, kwamba siyo kweli huyu anayesepa ni msukuma. Watasema moja mzinza mama yake msubi hahaha
 
Hahaha
 
Kwani mnadhani huyu mugabe ataachia hiyo 2025??? Huyu mpk atembelee gongo ndio atatoka
 
Hapa hauko sahihi ila la Mwenyekiti na Makonda uko sahihi!

Waswahili tunasema kuna watu wanafuga misukule, lakini wenzetu wazungu wanaita "Zombie". Kuna chama mwenyekiti wao ndiye aliyeshikilia akili zao na anachoamua yeye ndiyo na wao hufuata.

Nadharia hii ya Isaac Asimov inafaa sana kwa wana CCM na chama chao!!
 
Back
Top Bottom