2022 imeanza, tunamshukuru Mungu kutulinda, wembe ni uleule, hayati JPM alitufumbua macho hili taifa lina mali nyingi

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania.

Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina.

Kwa hakika ni mengi alitufumbua na sasa tumeahajua maana kumbe hata maji ya kuzalisha umeme huwa hayapungui ila wanaCCm wakishirikiana na mafisadi wa Tanesco huwa wanayafungulia ili mgao wa umeme uwepo na wao kupiga madili.

# Lazima tupaze sauti
 
Dah nasherekea Mwaka mpya lakini naona kama naota Magufuli hayupo Nchi imedorora hakuna hamsha hamsha za viongozi kushugulikia kero za wananchi kama zama za Kipenzi chetu Magufuli.

Tumerudi kule kule Majizi yanachekelea unyonyaji umerudi pale pale Mifumuko ha Bei imepanda sana
 
Back
Top Bottom