2021 Toyota GR 86

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,351
Specs:

2.4litre naturally aspirated engine
Hp: 240
Torque: 184lb-ft
0-60 in 6.3 secs
Price: $29,000

IMG_20210406_095514.jpg
IMG_20210406_095516.jpg
IMG_20210406_095525.jpg
IMG_20210406_095522.jpg
 
Hapo TRA bado hawajalala nae mbele.... dude hilo ni V12. Hata USA ukimiliki unaonekana upo njema. Ni gari zenye class ya dunia. Nikajua umeishusha au chuma ya Bavaria
Binafsi napenda zaidi SUV.

Sedan hata ikiwa RR Ghost hainishtui.

Ila ingekuwa G wagon au GLE 63 S AMG, mshipa wa fahamu ungeshtuka.

Ila hizo sedan hapana kwakweli.
 
2021 imekuja na Magari matamu balaa

Huku kwenye subaru kuna Impreza kuna ascent

Yaani ni mfuko wako tu.

Hii chuma ni kale wazee
 
Hivi unajua ilivyo ngumu kumtenganisha Mzee na rav 4 old model?
😂😂😂😂 .. huyo mzee ana hela za kawaida na hajatembea.. Ingawa ni kweli pia kuna mzee namjua ana hela vibaya ila miaka nenda rudi ana rav 4 ile ile
 
😂😂😂😂 .. huyo mzee ana hela za kawaida na hajatembea.. Ingawa ni kweli pia kuna mzee namjua ana hela vibaya ila miaka nenda rudi ana rav 4 ile ile
mzee ana hela siyo mchezo

mtu anaemiliki mjengo kariakoo na kumwaga kontena za mizigo

miradi ya maelfu ya mifugo

processing industry
sheli
siyo wa kushindwa kuchukua huyo mnyama

anang'ang'ania wizard
:confused::confused:
 
Back
Top Bottom