BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,012
- 8,471
Tunisia hamna kitu....wale sio title contenders
Wakikutana na Algeria and Morocco tunawakalisha kamanda, hata hao Nigeria wanaopewa sifa tutawapiga labda fitina ifanyike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunisia hamna kitu....wale sio title contenders
Andre Ayew Dede amepiga goli kali sana18' Gabon 0-1 Ghana
Kama Samata vile 😀😀😀 .......sijui yupo timu gani nowAndre Ayew Dede amepiga goli kali sana
Al Sadd, QatarKama Samata vile 😀😀😀 .......sijui yupo timu gani now
Hizi vurugu Ghana wanalalamikia nini? Mbona goli halali kabisa lile?FT: Gabon 1 - Ghana 1
Yaani mpira wa kiafrica full uhuni na magumashiHizi vurugu Ghana wanalalamikia nini? Mbona goli halali kabisa lile?
Ghana wakalamba na red card juu😂FT: Gabon 1 - Ghana 1
Al Sadd, Qatar
Antwerp ya Ubeleshi ila yupo ukingoni mwa career yake, hatuna tunachomdaiKama Samata vile 😀😀😀 .......sijui yupo timu gani now
Ghana hana timu ya kiushinda afcon. Wanaruka ruka tuu uwanjani.Hizi vurugu Ghana wanalalamikia nini? Mbona goli halali kabisa lile?
Tena hata hii sare ya leo wamshukuru sana Mungu. Wamekoswa goli tatu za wazi kabisaGhana hana timu ya kiushinda afcon. Wanaruka ruka tuu uwanjani.
Aibu sana kwa professional players kufanya ujinga ule. Yale mambo wanafanya wahuni kama kina Juma NyossoYaani mpira wa kibongo full uhuni na magumashi
Nani kalimwa ile red?Ghana wakalamba na red card juu😂
Ia vurugu Ghana wanalalamikia nini? Mbona goli halali kabisa lile?
fair playHiI vurugu Ghana wanalalamikia nini? Mbona goli halali kabisa lile?
Sijaelewa. Fair play kiaje?fair play
Benjamin Tetteh. Jamaa aliingia dk ya 90 halafu dk ya 90+3' akala umemeNani kalimwa ile red?