2020 ni uchaguzi wa wabunge na madiwani tu, Rais Magufuli ameshashinda

Jobongo

New Member
May 19, 2017
4
219
Mimi kama mfuasi mtiifu wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, CCM wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

CHADEMA tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
 
Mimi kama mfuasi mtiifu wa chadema na Ukawa kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, ccm wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

Chadema tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
Kama kweli wewe ni chadema basi,jua hakuanzisha Magu ishu wanaume walishaianza ila ameifanya Leo hii kutafuta sympathy ya wananchi tu,maisha magumu,chakula bei juu,dawa hamna hospital,hali mbaya kila sehemu,atafanyaje ili watanzania kidogo waanze kurudisha imani
 
Attachments

  • VID-20170524-WA0021.mp4
    4.9 MB · Views: 34
Mimi kama mfuasi mtiifu wa chadema na Ukawa kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, ccm wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

Chadema tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
Ungejua watu wanasubir Tanzania ya viwanda huku mtaani,wala usingepiga kelele hapa.Au ndio unataka kutusahaulisha kuhusu Budget mbovu isiyo na kichwa wala miguu?
 
Kama kweli wewe ni chadema basi,jua hakuanzisha Magu ishu wanaume walishaianza ila ameifanya Leo hii kutafuta sympathy ya wananchi tu,maisha magumu,chakula bei juu,dawa hamna hospital,hali mbaya kila sehemu,atafanyaje ili watanzania kidogo waanze kurudisha imani
Angalia video hiyoo
 
Mimi kama mfuasi mtiifu wa chadema na Ukawa kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, ccm wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

Chadema tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
Sawa
 
Wachekesha kama Bashite
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi kama mfuasi mtiifu wa chadema na Ukawa kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, ccm wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

Chadema tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
Kwani ungeandika Pumba zako bila kuitaja CHADEMA na UKAWA zisingeeleweka?

Lijinga wewe.
 
Mimi kama mfuasi mtiifu wa chadema na Ukawa kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, ccm wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

Chadema tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee kuna ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Naunga mkono hoja, hivi kweli kuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais 2020, au tuokoe pesa kwa kumwacha Magufuli aunganishe tuu akamilishe kazi?.

P.
 
Mh jiandae kwa magunia ya matusi tu hapo. Maana umemwaga pipa la oil chafu barabarani
 
Mimi kama mfuasi mtiifu wa chadema na Ukawa kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, ccm wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

Chadema tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
Lumumba mna kazi kweli
 
Back
Top Bottom