2020 ni mwaka wa Tanzania kuandika historia yake mpya baada ya ile ya 1961

Swelana

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
418
1,259
Moja kwa moja,
Kwa hali ninavyoiona africa na dunia nzima kwa ujumla ni hakika kwamba mwaka 2020 ni mwaka wa kuiondosha ccm na wapumbavu wake kutoka madarakani.

Nawahakikishia wana JamiiForums nimefanya utafiti wa kutosha na ninaendelea kufanya utafiti na nimegundua ccm haipendwi tena na si CCM peke yake bali hata Rais wao pia hapendwi na hata wengine wamefikia mahali hawataki kumsikia wala kumuona.

Iwe ni kwa ugomvi au vurugu zozote lazima hatutakubali CCM waibe au wajaribu kuiba kura lazima tutawachapa.

Mimi si muumini wa chama chochote lakini nia yangu ni kuhakikisha tunaizika CCM,niwape kidogo japo mifano michache ya ushahidi wa kuiondoa CCM.

Mtwara na Lindi korosho wananchi wana hasira sana na ccm na wamekuwa wakitulizwa na viongozi wao tu kama Majaliwa PM,Nape MB,nk.

Wakati Majaliwa ametafuta suruhu ya korosho Jiwe aliblock kuhofia kuwa Majaliwa angepata credit kusaidia kwao kwani moyoni mwa jiwe na hata Majaliwa anajua kuwa hata kama jiwe awe raisi 2020 hawezi mchagua tena Majaliwa awe PM tena,kuna vifinyefinye vinaendelea hapo katikati kwani jiwe ana hisi Majaliwa PM ana msapoti Membe kwa mlango wa nyuma.

Sababu nyingine ni siasa za ukanda ambazo alizianzisha jiwe za kuonyesha wazi wazi kupendelea mikoa ya kanda ya ziwa na kuna tetesi kuwa amekuwa akiwapigia simu wale wote waliokuwa hawamsapoti kwenye harakati zake na ambao ni wa kanda ya ziwa na kuwatuliza na hatimaye nao wakaamua kumsapoti kwa kumtetea kufa na kupona

Mfano jiulize kwa sasa ni mwana kanda ya ziwa yupi uliyemzoea kumkosoa jiwe bado anamkosoa?

Mwangalia Pascal Mayalla,Gwajima,nk hao wote sasa ni mateka wa jiwe wako radhi kuonyesha upumbavu wao kumtetea jiwe.Tetesi ni kuwa amekuwa akiwapigia na kuongea nao kwa kirefu ili mradi tu awaweke karibu ili kanda ya ziwe asipate mtu wa kumsumbua.

Siasa hizo zimejionyesha hadharani mpaka bashite kufikia kusema wazi wazi bila kuogopa mfano msiba wa mengi alichokifanya.

Kwa sababu hizo na nyingi ni ishara tosha kuwa wananchi hatutakubali tena jiwe awe raisi iwe kwa upanga au kwa wembe.
Tunachowaomba wapinzani waweke nafasi ya uraisi kwa mtu ambaye hayumbishwi na mali zake au kitu chochote ili akikataa matokeo watu tunajaa barabarani,wasituwekee goi goi wa kuturudisha nyuma na kujifanya tumuachia MUNGU,2020 hakuna cha kumuachia MUNGU ni upanga na viwembe tu hata kwenye biblia takatifu watu walipigania haki fuatilia kisa cha goliati na daudi.
Na wananchi tutahamasishana kulingana na ugumu wa maisha ili kiwe ndio kigezo kikubwa cha kumtoa jiwe na ccm yake.

Ninayo mengi ya kutema ambayo ni ushahidi wa utafiti wangu vijijini lakini nitakuwa nauleta siku zinavyozidi kwenda ila cha mwisho nimekuta mkoa mmoja vijana wakihamasishana kwamba hakuna mtu kutekwa maeneo yao tena wameapa kuwa hata kama watekaji wanatumia siraha wako radhi kufa wote katika kumuokoa mtekwaji.

Ni hayo tu wana.

Swelana
Kwa sasa kakonko kibondo kigoma.
 
Easier said than done. Do you think they will leave the power they have willingly? Fat chance.
 
Natamani sana 2020 mabadiliko yatokee ila sidhani km itawezekana, bado kuna wimbi la wanasiasa wanaomlamba miguu mtakatifu na kumsifia kila wakati pia isitoshe hawa jamaa wana masters za kuiba kura waulizeni wanzanzibari. Majambazi hayaondolewi kwa kura, km tutaendelea kuwa waoga tukubali tu matokeo.
 
Linawezekana ila halitawezekana kwa Kuwa Kuna chama kinajiona chenyewe ndio UPINZANI HASA wengine ni CCMUPINZANI.

Bila UMOJA CCM DAIMA hasa vijijini.

Ruzuku Akili ndogo kutawala akili kubwa kwa pesa. Siasa kificho cha biashara haramu mambo mengi mengi.
Wazalendo wa kweli mtalia sana kwa kweli wafanyabiashara wa siasa wataomboleza nanyi kwa kweli.
 
Moja kwa moja,
Kwa hali ninavyoiona africa na dunia nzima kwa ujumla ni hakika kwamba mwaka 2020 ni mwaka wa kuiondosha ccm na wapumbavu wake kutoka madarakani.

Nawahakikishia wana JamiiForums nimefanya utafiti wa kutosha na ninaendelea kufanya utafiti na nimegundua ccm haipendwi tena na si CCM peke yake bali hata Rais wao pia hapendwi na hata wengine wamefikia mahali hawataki kumsikia wala kumuona.

Iwe ni kwa ugomvi au vurugu zozote lazima hatutakubali CCM waibe au wajaribu kuiba kura lazima tutawachapa.

Mimi si muumini wa chama chochote lakini nia yangu ni kuhakikisha tunaizika CCM,niwape kidogo japo mifano michache ya ushahidi wa kuiondoa CCM.

Mtwara na Lindi korosho wananchi wana hasira sana na ccm na wamekuwa wakitulizwa na viongozi wao tu kama Majaliwa PM,Nape MB,nk.

Wakati Majaliwa ametafuta suruhu ya korosho Jiwe aliblock kuhofia kuwa Majaliwa angepata credit kusaidia kwao kwani moyoni mwa jiwe na hata Majaliwa anajua kuwa hata kama jiwe awe raisi 2020 hawezi mchagua tena Majaliwa awe PM tena,kuna vifinyefinye vinaendelea hapo katikati kwani jiwe ana hisi Majaliwa PM ana msapoti Membe kwa mlango wa nyuma.

Sababu nyingine ni siasa za ukanda ambazo alizianzisha jiwe za kuonyesha wazi wazi kupendelea mikoa ya kanda ya ziwa na kuna tetesi kuwa amekuwa akiwapigia simu wale wote waliokuwa hawamsapoti kwenye harakati zake na ambao ni wa kanda ya ziwa na kuwatuliza na hatimaye nao wakaamua kumsapoti kwa kumtetea kufa na kupona

Mfano jiulize kwa sasa ni mwana kanda ya ziwa yupi uliyemzoea kumkosoa jiwe bado anamkosoa?

Mwangalia Pascal Mayalla,Gwajima,nk hao wote sasa ni mateka wa jiwe wako radhi kuonyesha upumbavu wao kumtetea jiwe.Tetesi ni kuwa amekuwa akiwapigia na kuongea nao kwa kirefu ili mradi tu awaweke karibu ili kanda ya ziwe asipate mtu wa kumsumbua.

Siasa hizo zimejionyesha hadharani mpaka bashite kufikia kusema wazi wazi bila kuogopa mfano msiba wa mengi alichokifanya.

Kwa sababu hizo na nyingi ni ishara tosha kuwa wananchi hatutakubali tena jiwe awe raisi iwe kwa upanga au kwa wembe.
Tunachowaomba wapinzani waweke nafasi ya uraisi kwa mtu ambaye hayumbishwi na mali zake au kitu chochote ili akikataa matokeo watu tunajaa barabarani,wasituwekee goi goi wa kuturudisha nyuma na kujifanya tumuachia MUNGU,2020 hakuna cha kumuachia MUNGU ni upanga na viwembe tu hata kwenye biblia takatifu watu walipigania haki fuatilia kisa cha goliati na daudi.
Na wananchi tutahamasishana kulingana na ugumu wa maisha ili kiwe ndio kigezo kikubwa cha kumtoa jiwe na ccm yake.

Ninayo mengi ya kutema ambayo ni ushahidi wa utafiti wangu vijijini lakini nitakuwa nauleta siku zinavyozidi kwenda ila cha mwisho nimekuta mkoa mmoja vijana wakihamasishana kwamba hakuna mtu kutekwa maeneo yao tena wameapa kuwa hata kama watekaji wanatumia siraha wako radhi kufa wote katika kumuokoa mtekwaji.

Ni hayo tu wana.

Swelana
Kwa sasa kakonko kibondo kigoma.
Kilio cha wengi ni kutokuwa na tume huru ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom