2020: Huku team ( nape, January, bashe, membe, jk, mwiguru) vs team ( lowasa, rostam, bashiri, pole pole, apson, mzee baba) vs team ( ukawa)

Papaa_Mobimba

JF-Expert Member
Mar 3, 2019
211
500
Wote hao watakuwa Sambamba Na Rais Magufuli kumpigania Na kumtetea kwa Hali Na Mali japo unaruhusiwa kuota upendavyo!

CCM Ni Chama Cha 'Mapinduzi'
Mabingwa wa Utabiri washatabiri Sana Anguko la CCM huko Nyuma lakin wakadhalilika

Mzee Nyerere alitulia Sana Kutengeneza CCM akatengeneza kitu Kweli Kweli, kwa hili twamshukuru Sana
Huna jipya Na story zako za Vijiweni. 2020 CCM KWISHAA.

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
 
if cap fits

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
1,199
2,000
Tufanye kazi jamani ,kama hamna kazi washa runinga uangalie tamthilia za kifilipino,
Ushauri kachukueni kadi za uanachama ccm hasa kwa vijana ni vzuri ili kuenda sawa na kasi ya maendeleo ya viwanda.jiwe forever in rule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
masluphill

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
538
500
Ni ' Mpumbavu ' tu pekee ndiyo anadhani kwamba mwakani ( 2020 ) CCM kitashindwa na ' Upinzani ' wa ' hovyo hovyo ' uliopo nchini Tanzania kwa sasa. Ninachojua na ambacho nina uhakika nacho tu ni kwamba CCM itaongoza nchi hadi pale ama Yesu Kristo wa Nazareth atakapokuja Kutukomboa au pale Dunia itakapopinduka. CCM wako Maili 7500 huku Upinzani ndiyo Kwanza ukiwa Maili 13 hivi hapo unategemea nini?
Yote yanawezeka kwa NDULI akisaidiwa na USHETANI, lakini chini ya hofu ya MUNGU na usimamizi wa haki ya kweli Yeyote anaweza kushinda....,
tatizo SHETANI AMETAMALAKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,957
2,000

Attachments

  • IMG-20190309-WA0007.jpg
    File size
    93.2 KB
    Views
    19

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,417
2,000
Hicho ulichokisema hapa hata hao Upinzani nchini Chama chao Kimoja kingeshika ' Hatamu ' nchini hata na Wao wangefanya hivyo hivyo. Acheni Unafiki!

Kama wangefanya hivyo hata ww ungekuwa na haki ya kuja hapa na kutoa maoni yako. Unafiki mwisho Chato.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,417
2,000
Hizo siasa zako labda 2025 kwani JPM hana mpinzani na anayempinga ndani ccm ni mbinafsi na fisadi. Akina Mbowe na Lissu nao hawana jipya ila waendelee na roadshows zao.

Kuna tofauti ya kukosa mpinzani na kutotaka mpinzani.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,417
2,000
Ungeelewa niliposema kuwa CCM ipo Maili 7500 na Upinzani nchini upo Maili 13 usingeniuliza tena hili Swali lako la Kitoto.

Ccm kama chama cha siasa kiko maili 10, ukikichanganya na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola ccm inakuwa maili zaidi ya 7,500 fullstop.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
16,873
2,000
2020 sipati picha kinyanganyiro cha timu tatu hizo kuelekea white house ( jengo jeupe).

Hizi team mbili za mwanzoni zinapiga mazoezi kwa pamoja lakini siri iliyopo Mungu ndio anajua.

Hii team ya tatu yenyewe 2020 yawezekana ikaokota embe kutoka juu ya mti wa mpera kutokana na team mbili kushindwa kuafikiana kwenye kamati kuu yao ya chama.

Kwa hasira wataona ni bora timu zote mbili zikose na kumrushie embe team ukawa .

Yaani sipati picha 2020 ,ila team ya pili kwa kuwa ina watu wenye akili kubwa kama akina Epson wanaweza kuchomoka.

Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bashe hawezi cheza kwenye Timu ya Membe lazima acheze kwenye Timu yenye Lowassa na Rostam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
titimunda

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
7,588
2,000
Wote hao watakuwa Sambamba Na Rais Magufuli kumpigania Na kumtetea kwa Hali Na Mali japo unaruhusiwa kuota upendavyo!

CCM Ni Chama Cha 'Mapinduzi'
Mabingwa wa Utabiri washatabiri Sana Anguko la CCM huko Nyuma lakin wakadhalilika

Mzee Nyerere alitulia Sana Kutengeneza CCM akatengeneza kitu Kweli Kweli, kwa hili twamshukuru Sana
Na tunawashukuru CCM kwa kutufikisha hapa baada ya zaidi miaka 50 ya kushika hatamu,tuko vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,986
2,000
2020 sipati picha kinyanganyiro cha timu tatu hizo kuelekea white house ( jengo jeupe).

Hizi team mbili za mwanzoni zinapiga mazoezi kwa pamoja lakini siri iliyopo Mungu ndio anajua.

Hii team ya tatu yenyewe 2020 yawezekana ikaokota embe kutoka juu ya mti wa mpera kutokana na team mbili kushindwa kuafikiana kwenye kamati kuu yao ya chama.

Kwa hasira wataona ni bora timu zote mbili zikose na kumrushie embe team ukawa .

Yaani sipati picha 2020 ,ila team ya pili kwa kuwa ina watu wenye akili kubwa kama akina Epson wanaweza kuchomoka.

Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ukawa bado Upo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom