2020 CHADEMA watapoteza viti vingi vya Ubunge, upinzani utanyong'onyea, wapigakura watakuwa wachache | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2020 CHADEMA watapoteza viti vingi vya Ubunge, upinzani utanyong'onyea, wapigakura watakuwa wachache

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chizi Maarifa, May 11, 2017.

 1. Chizi Maarifa

  Chizi Maarifa JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2013
  Messages: 1,434
  Likes Received: 1,527
  Trophy Points: 280
  Nasikitika kusema hili. Upinzani hasa kwa chama kikuu cha upinzani CDM kitapoteza viti vya ubunge. Kwenye urais pia watapata asilimia za chini sana.

  Pia mwaka 2020 kutakuwa na mwitikio hafifu wa kupiga kura ukilinganisha na mwaka 2015. Wananchi wamekata tamaa na upinzani utazidi kunyong'onyea huku CCM IKIIMARIKA.

  Ni habari za kuogofya na za kutisha lakini nmeona niseme na leo tarehe 11/05/2017 iwekwe kumbukumbu hii. Ikiwa CDM watashinda nipigwe BAN YA MAISHA na pia nipo tayari kuhamishwa nchi nipelekwe kokote kule.

  Nasisitiza. CDM imepoteza mwelekeo, haina mikakati,haina mipango imekata tamaa. CCM hujipanga wakati wote na kuungana kuupata ushindi kwa hali na mali.

  Nchi hii itarudi zama za kale za kati.
   
 2. m

  mtu mbovu Member

  #21
  May 12, 2017
  Joined: Apr 4, 2017
  Messages: 32
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Utakuwa umefakamia uji wa mgonjwa kwa hizo pum
   
 3. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #22
  May 12, 2017
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,306
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  wabunge wao wengi badala ya kufanya kazi wamejiingiza kwenye malumbano ya ukawa kama huyo wa temeke kupitia cuf yeye ugomvi wa chama chao amekipa kipaumbele kuliko kutumikia wananchi
   
 4. GANG MO

  GANG MO JF-Expert Member

  #23
  May 12, 2017
  Joined: Dec 6, 2016
  Messages: 1,085
  Likes Received: 1,117
  Trophy Points: 280
  bila polic, tume ya upendeleo na wakurugenz ccm ni mwepesi zaid ya tishu. Mnabebwa afu mnatoka kwa wananch na kujigamba mnapendwa. Looo!
   
 5. K

  Kilasi Mkuu JF-Expert Member

  #24
  May 12, 2017
  Joined: Nov 25, 2013
  Messages: 2,201
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hamna lolote wewe hujui kwa vile unakaa kona mbaya ya nchi, vitaongezeka sana kwa hii kasi ya m......................g.....................................f........................................l
   
 6. K

  Kilasi Mkuu JF-Expert Member

  #25
  May 12, 2017
  Joined: Nov 25, 2013
  Messages: 2,201
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  ipo siku wata beba jiwe.
   
 7. K

  Kilasi Mkuu JF-Expert Member

  #26
  May 12, 2017
  Joined: Nov 25, 2013
  Messages: 2,201
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  huwezi fanya kazi na hali kama ya.............................................
   
 8. M

  Mnyirani JF-Expert Member

  #27
  May 12, 2017
  Joined: Dec 1, 2016
  Messages: 890
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 80
  Tumeeeeeeeee
   
 9. n

  ngararumu JF-Expert Member

  #28
  May 12, 2017
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Kwani wee chizi,
   
 10. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #29
  May 18, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 7,963
  Likes Received: 6,243
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaaa umenfanya ncheke mkuu kma mazuri vile:D:D:D:D
   
Loading...