Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Akisimama Membe Lowasa au Lisu anachukua nchi mapema hata kabla kura kuhesabiwa. Akishinda tujiandae na vita visivyo lazima kati yetu na Rwanda na baada ya kuipiga Rwanda ataipiga Malawi. Membe ni Mbabe sana na hatupo tayari kwa hasara.
Lowasa ndo anasimile kwenye mambo ya vita
 
Unataka kiturudishia mawazo ya omba omba misaada ya nje, kosa abajuana na nchi nyingi za ulaya! Hii ideology ya kuwa mtu anajuana na nchi nyingi ndo utapata maendeleo ni ushamba na umasikini wa akili...
Ww ukijua mikoa yote hapa Tanzania ni mwanzo wa kupata hela ama maendeleo?
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.
Kwani muda wa kampeni tayari ?
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.
Ulishaona Nchi gani wanakula Demokrasia?.
Hapa kazi tu mpaka 2025.
 
T 2025 JPM.

Mtoa post aliyekutuma mwambie hujawakuta.

Kama umejituma mwenyewe (maana ndio zenu)nakushauri ujiandae tu kisaikolojia kwa sababu JPM is for Tanzania na akimaliza tunamuongezea.
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom