Swali fikirishi: Ni nini walicho nacho wapinzani wahamao ambacho CCM hawana?

mkuu utatibua nyongo za wafia chama na waliokipigania kuona wageni wakija wanalamba vyeo tu bila kutoa jasho
Lumumba wanagugumia ndani kwa ndani
Screenshot_20180813-183105.jpg
 
Unajua Mr Terrible job amejificha kwenye shamba la karanga kanakwamba watu hawamuoni kumbe mlango alioingilia yeye wenzake ndiyo wameutumia kutokea anajifanya kama anawakaribisha kiungwana kumbe ni business as ussual
 
Ndugu wanabodi kutokana na hii hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani(wabunge,madiwani na wanachama)pamoja na kupewa nafasi za kutetea nafasi zao za ubunge,udiwani na vyeo lazima wakumbuke kuwa mwaka 2020 wakati wa uchaguzi na wakati wa kupitisha wagombea wao watajikuta ni WAHAMIAJI HARAMU,kwasababu hawana historia wala misingi ya chama cha mapinduzi,hivyo kwa kuwa kura za maoni zitafanyika hawana nafasi za kujitetea.

Hii ni kwa sababu kwa sasa wanapewa nafasi kwa kuwa ni mkakati wa kudhoofisha upinzani na ndiyo maana hata kanuni kwa mjibu wa katiba ya ccm juu ya uteuzi wa nafasi zilizoachwa wazi haufuatwi yaani kuwa mwanachama kwa muda wa miaka mitano ili uaminiwe


Tutegemee wanasiasa watakaobaki bila mwelekeo .Nmemshangaa rais kusema eti wameguswa na juhudi za maendeleo,hivi kuguswa lazima uhame,inainekana asivyo mwanasiasa na wala hajui siasa ila siasa za kina afiki.

Tusubiri 2020 WAHAMIAJI HARAMU CCM.
Unajua hili swala sio la wahamiaji peke yake?

Hata wale wabunge na madiwani ambao ni ccm original watapambanishwa na watia nia wengine katika uchaguzi wa 2020. Na kwa taarifa yako wengi wao watatikiswa sana.
 
Back
Top Bottom