2019 Mercedes S Class

Katika Safety Mswideni "VOLVO" anashikilia kijiti. Katika yote kwa ujumla... Benzi shkamoo
Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zito na linakimbia kweli ila na mafuta unaangalia inavyoisha kwa blink tu
Lita ni sh 4000 halafu twin turbocharged
Kuna watu wanazo aisee

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Duu! Sh 4000! Huko ni gharama. US nafikiri kwao mafuta ni cheap saana. Maana kuna watu wa kipato cha kawaida wanaendesha zile F150 ambazo nahisi zina engines kubwa.
 
Nimekusoma mkuu. Nikajua unataka ujaribu SGR .

Volvo wanajivunia sana uwezo huu... Na umewapa soko sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia XC60 kwa mfano, hiyo haina mshindani kwa kweli
Yaani katika Volvo nilizozijaribu hii ni best
Halafu hainywi mafuta sana na imetulia barabarani hata ukimbize namna gani wala husikii hata kelele za upepo wala upenyo hamna
Volvo ziko juu aisee

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ni aibu sana bro
Yaani kuna mambo mengine huwa nawashangaa sana watu
Mtu anakutumia clip aliyotumiwa halafu unamuuliza na wewe umekurupuka kunitumia bila kuhakikisha na ku Google kama ni fake au vipi
Yaani tena wengine ni well educated lakini hajui dunia ikoje leo
Huwa sipati majibu kabisa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Tumefika point kila kitu tunachukulia poa tu. Na hii inatuaffect saana. Hasa vijana wetu. Unakuta bwana mdogo ana smartphone, ina WhatsApp, ila anakwambia hana email address 😁😁. Sasa unabaki unajiuliza hiyo WhatsApp ilikuja na simu au?
 
Duu! Sh 4000! Huko ni gharama. US nafikiri kwao mafuta ni cheap saana. Maana kuna watu wa kipato cha kawaida wanaendesha zile F150 ambazo nahisi zina engines kubwa.
USA are world lagest oil producers mkuu
Ndio maana kuendesha magari yao makubwa kama Chevy na ma GMC ni kawaida hata mwenye kipato kidogo sana
Uarabuni walikuwa wananunua sana magari ya USA na mjapani walikuwa wanaendesha wenye kipato kidogo maana American cars yote ni V8
Uingereza hawana mafuta hivyo na pia barabara ni ndogo sana zilikuwa zile za farasi
Kwa hiyo ukiwa na Cadillac utaishia kuliosha tu nje ya nyumba mkuu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tumefika point kila kitu tunachukulia poa tu. Na hii inatuaffect saana. Hasa vijana wetu. Unakuta bwana mdogo ana smartphone, ina WhatsApp, ila anakwambia hana email address . Sasa unabaki unajiuliza hiyo WhatsApp ilikuja na simu au?

Aisee nimecheka sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Angalia XC60 kwa mfano, hiyo haina mshindani kwa kweli
Yaani katika Volvo nilizozijaribu hii ni best
Halafu hainywi mafuta sana na imetulia barabarani hata ukimbize namna gani wala husikii hata kelele za upepo wala upenyo hamna
Volvo ziko juu aisee

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
XC maana yake ni Cross Country. Ni gari ambazo Sweden zinatambulika kwa safari za mbali. Na Volvo walitengeneza kwa ajili ya safari ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA are world lagest oil producers mkuu
Ndio maana kuendesha magari yao makubwa kama Chevy na ma GMC ni kawaida hata mwenye kipato kidogo sana
Uarabuni walikuwa wananunua sana magari ya USA na mjapani walikuwa wanaendesha wenye kipato kidogo maana American cars yote ni V8
Uingereza hawana mafuta hivyo na pia barabara ni ndogo sana zilikuwa zile za farasi
Kwa hiyo ukiwa na Cadillac utaishia kuliosha tu nje ya nyumba mkuu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nilishajiuliza saana kwa nini Waingereza wanatumia vigari vidogo. Kumbe hii pia ni sababu. Unajua kuna vigari vidogo ni maarufu saana UK mpaka unashangaa. Mfano Yaris, Starlet, Ford Fiesta etc na twingine twa Europe, ni twingi saana huko. Daa! Basi nimeelewa. US mafuta ni cheaper kuliko hata Tanzania. Nafikiri pia wanatumia barabara saana. Trains zao naona kama za kizamani vile.
 
Bana, mpaka kwenye malori yao. Kuna safety features za kutosha. Jamaa nafikiri wameamua kucapitalize kwenye hiyo. Na wanafanya vizuri saana kwa kweli.
Mkuu kama parking inatafuta na kuingia yenyewe unaonaje hiyo
Na taa zake zinafuata matairi wakati unakata kona
Ina safety features kibao
Lakini wanachuana na gari nyingi sana
Maana kila mmoja anataka kumuonyesha mwenzake kuwa nae ni kiboko

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu kama packing inatafuta na kuingia yenyewe unaonaje hiyo
Na taa zake zinafiata matairi wakati unakata kona
Ina safety features kibao
Lakini wanachuana na gari nyingi sana
Maana kila mmoja anataka kumuonyesha mwenzake kuwa nae ni kiboko

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hehehee, safi sana. Itafika kipindi udereva itakuwa kazi rahisi saana aise. Unajua parking hasa mjini huwa ni changamoto saana. Ni sehemu ya kipimo kama umeiva kwenye udereva. Sasa siku hizi unagusa button tu.

Kweli ushindani ni mkubwa. Nimeona BWM na wao wamekuja na a full size SUV, X7.
 
Nilishajiuliza saana kwa nini Waingereza wanatumia vigari vidogo. Kumbe hii pia ni sababu. Unajua kuna vigari vidogo ni maarufu saana UK mpaka unashangaa. Mfano Yaris, Starlet, Ford Fiesta etc na twingine twa Europe, ni twingi saana huko. Daa! Basi nimeelewa. US mafuta ni cheaper kuliko hata Tanzania. Nafikiri pia wanatumia barabara saana. Trains zao naona kama za kizamani vile.
Ni kweli mkuu USA mafuta ni cheap sana kama bure tu
Ila sisi huku gari ndogo ndio wengi wananunua kwa ajili ya parking na barabara ni ndogo sana za mjini
Na mafuta yapo juu sana kwa kweli
Halafu serikali inatoza hela za ziada kama unaendesha gari yenye CC kubwa una cough more
Na gari za zamani pia unalipa more road tax
Na sasa kuna huyu Mayor wa London Sadiq Khan ananyoosha watu kwa kuongeza congestion charge na kama una gari la zamani kuingia ni hela
Yaani we acha tu mkuu

Duu! Kweli hapo inabidi mhamie kwenye umeme tu, hakuna ujanja aise. Poleni saana.
 
Hehehee, safi sana. Itafika kipindi udereva itakuwa kazi rahisi saana aise. Unajua parking hasa mjini huwa ni changamoto saana. Ni sehemu ya kipimo kama umeiva kwenye udereva. Sasa siku hizi unagusa button tu.

Kweli ushindani ni mkubwa. Nimeona BWM na wao wamekuja na a full size SUV, X7.
Siku naelekezwa nilisema leo ndio kukoma ubishi
Yaani kwanza unaingia packing halafu unaiacha itafute parking yenyewe
Speed 10m/h polepole inaenda yenyewe ikipata sehemu hata katikati ya gari mbili na inaona inaweza kuingia kwa ukubwa wake
Command and control inakuambia relax usiguse kitu hapo ndio utajua mzungu kawa MFIPA

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom