Rational_Thinker
Member
- Mar 23, 2019
- 10
- 9
Katika Safety Mswideni "VOLVO" anashikilia kijiti. Katika yote kwa ujumla... Benzi shkamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app