2019 Mercedes S Class

Magari ya umeme bado naona itakuwa changamoto kubwa sana Tanzania hasa kwenye upande wa miundombinu, ufundi na spares.

Mpaka sasa spare za baadhi ya magari hata ya 2010 bado ni shida sana, mafundi wenye uwezo wa kutengeneza other than Toyota cars ni tuseme kama hakuna.

Miundombinu ni tatizo kubwa sana, barabara zetu ni all weather roads kuanzia posta mpaka nanjilinji. Hybrid or EV cars ni sensitive sana, kitu kidogo sana unaliacha porini.

Mvua ikinyesha, ukapitisha gari kwenye haya madimbwi yetu, gari inapiga shoti. Umezubaa ukapiga shimo, gari inakata umeme forever na ukichangia hakuna fundi, basi utapaki gari gereji.

Binafsi, napenda sana gari za umeme. Kungekuwa na reliability ya maintainance, mafundi na spares, ningepambana ndani ya miaka hii miwili ninunue full electric au hybrid kama Tesla.

Sasa toka barabara kuu mpaka kwangu tu, ukiwa na gari lele mama utalipaki ndani ya week sio kwa mashimo haya.

Ngoja nibaki na haya ya mafuta kwanza, labda nikihama nchi naweza tumia umeme au barabara zetu zikiwa za kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa! Umenikumbusha enzi hizo. Yaani unacharge simu for more than 3hrs, halafu inaishiwa charge saa nne asubuhi. Kweli, Tesla wameanza vizuri. Kuna jamaa wanaitwa Rimac, wako vizuri. Wanatengeneza super cars za umeme. Soon zitakuwa mass produced. Maan kwa sasa ni limited editions tu nadhani.
Hata kampuni ya Rivian nao wanatengeneza Pickups za umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
500km ni nyingi za kutosha kwa kweli. Hiyo kwa matumizi ya mjini, unacharge once a week maisha yanaendelea. Sema nimesoma sehemu kuwa ukicharge kwa umeme wa ndani inachukua muda mrefu saana kujaa. Hapo nafikiri kwa Bongo ndio itakuwa kimbembe.
Kuna fast charger za dakika 40 from 0-80%
 
Vuta hata Toyota Prius mkuu,.
Magari ya umeme bado naona itakuwa changamoto kubwa sana Tanzania hasa kwenye upande wa miundombinu, ufundi na spares.

Mpaka sasa spare za baadhi ya magari hata ya 2010 bado ni shida sana, mafundi wenye uwezo wa kutengeneza other than Toyota cars ni tuseme kama hakuna.

Miundombinu ni tatizo kubwa sana, barabara zetu ni all weather roads kuanzia posta mpaka nanjilinji. Hybrid or EV cars ni sensitive sana, kitu kidogo sana unaliacha porini.

Mvua ikinyesha, ukapitisha gari kwenye haya madimbwi yetu, gari inapiga shoti. Umezubaa ukapiga shimo, gari inakata umeme forever na ukichangia hakuna fundi, basi utapaki gari gereji.

Binafsi, napenda sana gari za umeme. Kungekuwa na reliability ya maintainance, mafundi na spares, ningepambana ndani ya miaka hii miwili ninunue full electric au hybrid kama Tesla.

Sasa toka barabara kuu mpaka kwangu tu, ukiwa na gari lele mama utalipaki ndani ya week sio kwa mashimo haya.

Ngoja nibaki na haya ya mafuta kwanza, labda nikihama nchi naweza tumia umeme au barabara zetu zikiwa za kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna safari ndefu sana tusiyoifikia
Kama mtu mkubwa kashupalia neno dhaifu unategemea tutafika mahali
Nisamehewe kwa kuchomekea hili
Ila bado tuna safari

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hehehee! Imedibi nicheke tuu. Una point ya msingi hapo mkuu.
 
Mkuu ni vigumu siku hizi kuona watu wakiwa na hobbies siku hizi
Ni smartphones tu masaa 14

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kabisa yaani. Kuna watu hata Google hawajui kutumia, kila kitu wanakitafuta Instagram. Sasa ku scroll hizo picha pamka upate unachotafuta, lazima siku nzima iishie hapo.
 
Wanasema DNA ya gari ni Audi
Kwa kweli acha kabisa SQ7 ni balaa aisee inakimbia pamoja na ukubwa wake huo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
First time ninasikia about RS6 nilishangaa kweli. Wagon yenye performance ya super car, duu! Niliwakubali saana hawa jamaa.
 
Magari ya umeme bado naona itakuwa changamoto kubwa sana Tanzania hasa kwenye upande wa miundombinu, ufundi na spares.

Mpaka sasa spare za baadhi ya magari hata ya 2010 bado ni shida sana, mafundi wenye uwezo wa kutengeneza other than Toyota cars ni tuseme kama hakuna.

Miundombinu ni tatizo kubwa sana, barabara zetu ni all weather roads kuanzia posta mpaka nanjilinji. Hybrid or EV cars ni sensitive sana, kitu kidogo sana unaliacha porini.

Mvua ikinyesha, ukapitisha gari kwenye haya madimbwi yetu, gari inapiga shoti. Umezubaa ukapiga shimo, gari inakata umeme forever na ukichangia hakuna fundi, basi utapaki gari gereji.

Binafsi, napenda sana gari za umeme. Kungekuwa na reliability ya maintainance, mafundi na spares, ningepambana ndani ya miaka hii miwili ninunue full electric au hybrid kama Tesla.

Sasa toka barabara kuu mpaka kwangu tu, ukiwa na gari lele mama utalipaki ndani ya week sio kwa mashimo haya.

Ngoja nibaki na haya ya mafuta kwanza, labda nikihama nchi naweza tumia umeme au barabara zetu zikiwa za kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii huwa inaumiza saana. 2010 tunaongelea almost 10 yrs ago now, lakini mpaka sasa gari la mwaka huo kwa spares ni kimeo hapa kwetu. Mie huwa nashangaa unakwenda kwenye garage kubwa kabisa lakini oil filter wanafungua kwa kamba. Unajiuliza hawa watu wako karne gani. Mbona kuna tools za kufungulia na ziko cheap kabisa. Hapo na imani inapotea. Kila kitu wanafungua kwa kugonga na nyundo. Sasa electric car uje ugonge na nyundo kutoa ball joint, si unaharibu motors zote na battery kabisa.
 
Kuna fast charger za dakika 40 from 0-80%
Hapo sawa. Maana 40 mins unategea muda wa lunch huku gari linajaa. Sasa sijui unalipia vipi kujaza gari. Wanacharge based on time, au kuna jinsi ya kuangalia umetumia units kiasi gani.
 
Vuta hata Toyota Prius mkuu,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi spares parts zake zinapatikana kweli mitaani kwetu? Nimeviona kadhaa vikipita pita mtaani. Ila nina mashaka saana na mafundi wetu. Though kuna mdau mmoja, LEGE nafikiri alisema kwenye garage yake wanaweza kuvirekebisha. Maana mafundi wetu wengi wanazingua. Hivi vigari vyenye electric steering vinawasumbua saana. Kikiwasha taa wengi wao wanazima sensor tu.
 
Kabisa yaani. Kuna watu hata Google hawajui kutumia, kila kitu wanakitafuta Instagram. Sasa ku scroll hizo picha pamka upate unachotafuta, lazima siku nzima iishie hapo.
Laiti wangejua faida ya smartphones kwa upande wa kuelimisha wangefika mbali mkuu
Ni fb ig na snapchat tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Laiti wangejua faida ya smartphones kwa upande wa kuelimisha wangefika mbali mkuu
Ni fb ig na snapchat tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
@ black sniper, huwa inanifurahisha saana mtu ana latest smartphone ina uwezo mkubwa, ila kazi anazofanyia utabaki umeduwaa tu.
 
Aise, maana lile dude ni kubwa, so lazima litakuwa zito. Kuweza kutimka mbio kiasi kile, unywaji wake wa mafuta mmh! I can only imagine.
Ni zito na linakimbia kweli ila na mafuta unaangalia inavyoisha kwa blink tu
Lita ni sh 4000 halafu twin turbocharged
Kuna watu wanazo aisee

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
@ black sniper, huwa inanifurahisha saana mtu ana latest smartphone ina uwezo mkubwa, ila kazi anazofanyia utabaki umeduwaa tu.
Ni aibu sana bro
Yaani kuna mambo mengine huwa nawashangaa sana watu
Mtu anakutumia clip aliyotumiwa halafu unamuuliza na wewe umekurupuka kunitumia bila kuhakikisha na ku Google kama ni fake au vipi
Yaani tena wengine ni well educated lakini hajui dunia ikoje leo
Huwa sipati majibu kabisa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom