RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi, inafurahisha kujua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa magari.