2019 list ya Top 10 Kenyan Hip Hop Musicians

Bamboo ndiye all time best mc wa Kenya. Msiyemjua aliimba na j nature tunafanyaa kazii. 2 ni the bugz wslioimba Kamojaa nimechoka kungooja
 
Nonini,Colonel Mustapha,Elan,Colo,Kalgraph na Juakali.

Akikosekana hata mmoja kati ya hao hiyo list ni uchwara na feki.
 
rap ilikufa kitambo ikazikwa na media zetu so kwangu hakuna mkali labda baba jones kidogo
 
Waliotajwa kwa hii list ukiachana na Octopizzo & Jones siwajui kabisa 😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom