2019 laki moja inanunua nguo nne tu

Hiyo laki moja umejitakia Mwenyewe ungeenda Karume ungenunua nguo za kutosha na ungependeza Acha kuishi maisha ya watu ili uonekane live your life
Unakosea kusema anaishi maisha ya watu , hayo ndio maisha alochagua regardless anayaaford au la

Kuchagua na kuafford nadhani ni vitu viwili tofauti
 
Docs kwa laki unabeba nguo watajua na wewe una goli sehemu unaenda kuuza
 
Pole sana... inategemea na wapi umeenda...

Kuna sehemu zingine laki moja unapata mkanda wa surauali tuu...

Kuna sehemu zingine laki moja unaondoka na balo zima...

Cc: mahondaw
 
Mavazi ni mahitaji ya msingi lakini kipato cha mtanzania kikidumaa kila siku.Jana kwenye shopping zangu nikasema 100,000 ngoja niitumie kwa mavazi leo.Nikapita mitaa ya sinza na mabibo.Yaani nimeambulia kadeti moja 28000,shati moja 25,000 na t-shirt mbili za low quality za 20,000 each.Hizi ni nguo za mchina za kawaida sana ukipita wala mtu hageuki eti umependeza.

Kwa nchi za wenzetu unapozungumzia "Thousands" ni hela nyingi sana.

imagine December sikukuu una watoto watatu tu wanataka nguo za sikukuu na January Ada,mshahara mfano 700,000 bado makato.
Inaonekana hujafanya shopping miaka mingi sana.

Hakuna kipindi ambacho nguo zimeshuka bei kama kipindi hiki, zamani ukihitaji suruali kali uwe na angalau elfu 35, Tshirt angalau elfu 30, lakini siku hizi unapata Tshirt kwa elfu 10 mpaka 15, suruali 17-19, kadeti 20.
 
Kweli lakini izingatiwe pia kua bei imeshuka na ubora pia
Inaonekana hujafanya shopping miaka mingi sana.

Hakuna kipindi ambacho nguo zimeshuka bei kama kipindi hiki, zamani ukihitaji suruali kali uwe na angalau elfu 35, Tshirt angalau elfu 30, lakini siku hizi unapata Tshirt kwa elfu 10 mpaka 15, suruali 17-19, kadeti 20.
 
Maswala ya kuvalisha watoto nguo nzuri sikukuu ndio nshakataaa

Maswala ya kutenga hizi nguo za kanisani J-PILI nimeshakataa

Mtoto avae nguo yoyte ile atakayoweza kuvaa j3 aweze kuvaa j2 kanisani

Atakayoweza kuvaa j2 kanisani aweze kuvaa siku kuu

Haya mambo ya kutenga nguo kulingana na siku husika kuna hadi leo watu wazima wanayo

Kuna mtu anaviatu vya mtoko

ana nguo za mtoko

Ukishajiona unatenga nguo za mtoko kwako au kwa wanao Ujue "upo zama za OLD'Traford"
 
Usinunue nguo tena Shona nguo

Kanunue kitambaa kashone suruali 1 pensi 1

Shati kaliiiii 1 na Jingine la kukata mkono 1

Hicho ni kitenge flani hiviiii Unatoa nguo za kutosha

OTHERWISE

Pigilia mitumba flani hiviiiiii si unajua zile eeeh

Dah katika kuvaaa sina kipaumbele kabisa aseee mpk ninunue nguo labda hizi zilizopo nitoboke au

tshirt nyeusi iwe nyeupe ndo ntaenda nunua nguo

Mimi KULA tuuuuuuuu
 
Mavazi ni mahitaji ya msingi lakini kipato cha mtanzania kikidumaa kila siku.Jana kwenye shopping zangu nikasema 100,000 ngoja niitumie kwa mavazi leo.Nikapita mitaa ya sinza na mabibo.Yaani nimeambulia kadeti moja 28000,shati moja 25,000 na t-shirt mbili za low quality za 20,000 each.Hizi ni nguo za mchina za kawaida sana ukipita wala mtu hageuki eti umependeza.

Kwa nchi za wenzetu unapozungumzia "Thousands" ni hela nyingi sana.

imagine December sikukuu una watoto watatu tu wanataka nguo za sikukuu na January Ada,mshahara mfano 700,000 bado makato.
Ni hivi wewe unaishi Dar lkn bado ni kama unaishi Kolomije tu.
Nenda Kariakoo maduka yapo pale big born upande wa kulia uliza maduka ya underground utapata kila unachohitaji kwa bei poa inawezekana ungetukia 60 kwa hzo viwalo vyako unavyotaka ukipishana na watu wageuke....!!
 
Back
Top Bottom