Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
📌📌System ya kuwazoesha watoto eti kuwanunulia nguo ni mpk sikukuu ni ya kishamba sana.
📌📌System ya kuwazoesha watoto eti kuwanunulia nguo ni mpk sikukuu ni ya kishamba sana.
Unakosea kusema anaishi maisha ya watu , hayo ndio maisha alochagua regardless anayaaford au laHiyo laki moja umejitakia Mwenyewe ungeenda Karume ungenunua nguo za kutosha na ungependeza Acha kuishi maisha ya watu ili uonekane live your life
Inaonekana hujafanya shopping miaka mingi sana.Mavazi ni mahitaji ya msingi lakini kipato cha mtanzania kikidumaa kila siku.Jana kwenye shopping zangu nikasema 100,000 ngoja niitumie kwa mavazi leo.Nikapita mitaa ya sinza na mabibo.Yaani nimeambulia kadeti moja 28000,shati moja 25,000 na t-shirt mbili za low quality za 20,000 each.Hizi ni nguo za mchina za kawaida sana ukipita wala mtu hageuki eti umependeza.
Kwa nchi za wenzetu unapozungumzia "Thousands" ni hela nyingi sana.
imagine December sikukuu una watoto watatu tu wanataka nguo za sikukuu na January Ada,mshahara mfano 700,000 bado makato.
Inaonekana hujafanya shopping miaka mingi sana.
Hakuna kipindi ambacho nguo zimeshuka bei kama kipindi hiki, zamani ukihitaji suruali kali uwe na angalau elfu 35, Tshirt angalau elfu 30, lakini siku hizi unapata Tshirt kwa elfu 10 mpaka 15, suruali 17-19, kadeti 20.
Ni sawa na Kuna baadhi ya viatu huuzwa 150k lakini kkoo waweza pata mpk 30-40k...je ubora utakuwa unalingana kweli?Kweli lakini izingatiwe pia kua bei imeshuka na ubora pia
Acha kudanganya mwenzako.Ungeenda kariakoo usingekuja na malalamiko hapa
Jikaze
Kariakoo ulinidanganya kipindi kile nikaibiwa. Unataka na huyo aibiwe!Umeanza
Nadanganya Nini Sasa nawewe
Mkuu hizi zinapauka haraka sana!kadeti 20
Pesa siku zote haitoshi lakini kuna kiasi cha kukidhi mahitaji muhimu.
ukiwa huna hela hutakiwi kuchagua cha kuvaa bossSi kila mtu ni mpenzi wa matenge wengine hatuwezi kuthubutu hata kuulizia bei.
Ni hivi wewe unaishi Dar lkn bado ni kama unaishi Kolomije tu.Mavazi ni mahitaji ya msingi lakini kipato cha mtanzania kikidumaa kila siku.Jana kwenye shopping zangu nikasema 100,000 ngoja niitumie kwa mavazi leo.Nikapita mitaa ya sinza na mabibo.Yaani nimeambulia kadeti moja 28000,shati moja 25,000 na t-shirt mbili za low quality za 20,000 each.Hizi ni nguo za mchina za kawaida sana ukipita wala mtu hageuki eti umependeza.
Kwa nchi za wenzetu unapozungumzia "Thousands" ni hela nyingi sana.
imagine December sikukuu una watoto watatu tu wanataka nguo za sikukuu na January Ada,mshahara mfano 700,000 bado makato.