2019 Africa Cup of Nations Special Thread

canal+
20190621_235738.jpeg
 
Zimbabwe wanajitahidi mno, laiti mashindano yangekuwa yanachezewa Cameroon wangepigwa Egypt
 
Wametuzidi mbali sana
Uliangalia game la kirafiki tulocheza na Zimbabwe tukatoa draw??mbona Mtanzania mwenzangu unakua mwepesi sana kuhukumu/judge??
Wengine wamekalia kuhusu Mkude na Ajibu kutokuwepo Afcon basi ndio tutafanya vibaya je kwenye mechi za Kuqualify huyo Ajibu na Mkude walikuwepo? Yule dogo wa under 17 alikuwepo??
Amunike kacheza Barcelona kacheza Sporting Lisbon kwa mafanikio makubwa, fainali ya Afcon 1994 kama sikosei alitupia goli mbili peke yake...inamaana yeye na sisi mashabiki nani anajua zaidi?
Mimi naiamini na kuikubali Taifa Stars wana kiwango kizuri kupita Zimbambwe.
 
Mpira unachezwa uwanjani wote tunaona, kwa zile mechi 2 za majaribio ndio taifa Stars ilingane na hii Zimbabwe inayocheza na Egypt? Acha utani.
 
Zimbabwe pamoja na kuwa wamefungwa ila wamejitahidi sana

Tanzania na sisi tunatakiwa kupambana namna hii kwenye kundi letu
Imebidi nicheki squad ya Zimbabwe, wanacheza mostly South Africa pia ni regular Starters.

Tanzania tujitahidi wachezaji watoke nje hawa wa Lipuli, Mbao uwezo wao mdogo sana.
 
Mpira unachezwa uwanjani wote tunaona, kwa zile mechi 2 za majaribio ndio taifa Stars ilingane na hii Zimbabwe inayocheza na Egypt? Acha utani.
Utakuwa unatokea kabila la watu wa ajabu sana hongera si ajabu hata wewe mwenyewe hujijui ni nani ila upo sabbu uko hai.
 
Back
Top Bottom