2019/2020 kuelekea Uchaguzi1 Mkuu utayasikia haya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,986
144,313
1.Tunarudisha Bunge live kutokana na maombi ya wananchi-Hii ni serikali sikivu

2.Wanafunzi wanaopata mimba wataendelea na masomo-Tumeona watoto ambao ni Taifa la kesho wanaathirika kwa kukosa elimu

3.Mishaha itaongezwa na kima cha chini kitaongezwa kwa asilimia 100-Serikali inakusudia kuwapunguzia watumishi ugumu wa maisha na kuwapo watumishi motisha ya kazi

4.Makato ya bodi ya mikopo tunayapunguza kufikia asilimia 10 badala ya 15 ya sasa-Tumesikiliza kilio cha wananchi.

5.Bodi hakikisheni kila anaeomba mkopo anapata na kwa hili sitakuwa na salia mtume-Tunatekeleza ilani yetu kwa vitendo.

Small minds:eek:yeeeee!

Great minds:Mhhh!!!!!
 
Chadema na cuf watasemaje? Au ndo kutakuwa kumepamba moto kila mtu anagombea fito??
 
Hizo zitakuwa ni ahadi za wabunge na madiwani maana uchaguzi wa uraisi ushaisha mbona magufuli atarudi Tena kwa awamu ya pili
 
Kwa speed, hii ya Rais Dr. Magufuli hata 2030, atakubalika tu.

Zaidi labda, rudi ukamsikilize Mhe. Lowasa alichosema 2015' kwenye kampeni zake namnukuu kidogo tu "Kama ukawa /chadema tukishindwa mwaka huu2015,, basi tusubirie miaka 50 mbele.

Kwa hiyo, lowasa aliwapigia ramli ambayo imekuwa au itaendelea kuibeba ccm hadi miaka 50 ijayo mbele.

Dr. Magufuli, utaona asilimia za kura ni 70+% wapinzani Kama kawaida watagawana fito dakika za mwisho.
 
tupe na mikakati ya nyumbu kwa kipindi hicho!
Kwa speed, hii ya Rais Dr. Magufuli hata 2030, atakubalika tu.

Zaidi labda, rudi ukamsikilize Mhe. Lowasa alichosema 2015' kwenye kampeni zake namnukuu kidogo tu "Kama ukawa /chadema tukishindwa mwaka huu2015,, basi tusubirie miaka 50 mbele.

Kwa hiyo, lowasa aliwapigia ramli ambayo imekuwa au itaendelea kuibeba ccm hadi miaka 50 ijayo mbele.

Dr. Magufuli, utaona asilimia za kura ni 70+% wapinzani Kama kawaida watagawana fito dakika za mwisho.
Hiyo spidi ikuwapi?
 
mkuu, 70% labda za misukule ya Lumumba!
 
mkuu, 70% labda za misukule ya Lumumba!

Mkuu,

Utaona tu.

Japo , mimi sijasema kuwa nani watampatia hizo 70+% Ila huo ndiyo ushindi wake.

Nimeandika, comment yangu kuwa Rais Dr. Magufuli , atashinda kwa 70+% huku wakati huo sijui hao jamaa wa Ukawa na Cdm wakiendelea kugombea fito.
 
Back
Top Bottom