2018 World Bank Data: Top 10 African Countires With quality Roads

willyTrinidad

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
441
455
I laughed so hard when someone posted here ati Tz has 80,000 km of paved roads 😂😂😂.
I almost got fired at my job ju ya kicheko!. Am usually thrilled & amused by some threads in this forum but that one takes the trophy 🏆!.

Anyway here’s a serious thread, real facts, straight data sio random tweets paraded as the gospel truth.

Top 10 African countries with quality roads - South African Road Federation - SARF

Top 10 African countries with quality roads

Top 10 Africa January 8 at 6:43 pm

  1. Namibia (score 5.2) world ranking 23
  2. South Africa (score 5.0) world ranking 29
  3. Rwanda (score 5.0) world ranking 31
  4. Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
  5. Mauritius (score 4.7) world ranking 44
  6. Morocco (score 4.4) world ranking 55
  7. Kenya (score 4.2) world ranking 61
  8. Botswana (score 4.1) world ranking 6
  9. Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
  10. Senegal (score 4.0) world ranking 71
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
Sources: World Economic Forum competitive report: Road quality index 2016 – 2017
 
The bad thing with these kind of statistics is the reference period!
 
Ripoti ya mwaka 2015
Roads quality by country, around the world | TheGlobalEconomy.com
Tuache kutumia data bila kuzichambua

Sijaelewa unachojaribu kusema maana hamna tofauti uliyo ongeza hata baada ya kuleta data ya 2015 wakati mwenzio ameleta za 2018.
Ni muhimu sana watu kujifunza kuchambua hizi data, unakuta waziri mzima akishtukizwa na media na kuulizwa Tanzania ina mtandao wa barabara kiasi gani, yaani ataishia kutaja kitu cha kiajabu, ndio aina ya watu wanaosema na kung'ang'ania humu kwamba Tanzania inayo 85,000km paved road.
Kiongozi yeyote anafaa kuwa na ufahamu wa mambo ya msingi ya uchumi wa nchi yake.
 
Statistics ni history hakuna data za 2018 mkuu! Sema ripoti imeandaliwa mwaka 2018
 
I laughed so hard when someone posted here ati Tz has 80,000 km of paved roads 😂😂😂.
I almost got fired at my job ju ya kicheko!. Am usually thrilled & amused by some threads in this forum but that one takes the trophy 🏆!.

Anyway here’s a serious thread, real facts, straight data sio random tweets paraded as the gospel truth.

Top 10 African countries with quality roads - South African Road Federation - SARF

Top 10 African countries with quality roads

Top 10 Africa January 8 at 6:43 pm
Top 10 African countries with quality roads

  1. Namibia (score 5.2) world ranking 23
  2. South Africa (score 5.0) world ranking 29
  3. Rwanda (score 5.0) world ranking 31
  4. Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
  5. Mauritius (score 4.7) world ranking 44
  6. Morocco (score 4.4) world ranking 55
  7. Kenya (score 4.2) world ranking 61
  8. Botswana (score 4.1) world ranking 6
  9. Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
  10. Senegal (score 4.0) world ranking 71
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
Sources: World Economic Forum competitive report: Road quality index 2016 – 2017
So you want to say Rwanda has more paved roads than Kenya😂😂😂😂 Huwa mnafurahisha sana😂😂😂Differentiate between quality and total number of paved roads😂😂😂😂
 
Quality roads includes the likes of Thika roads n has nothing to do with total km of paved roads!
 
We are talking about quality not quantity. Bongo kuna elimu duni sana
 
Hata kwa hiyo list ya quality roads bado hampo Geza Ulole & mulisaaa ama bado mtabisha ni ripoti iliyoandikwa na Wakenya? SADC mnayoimba eti mpo nao tayari Nchi nne wapo kwenye hiyo list na mkijaribu kurudi EAC mnawapata Wakenya na Wanyarwanda...Nyinyi bure kabisaaaa.
Hii ndio sababu kuu ya uchungu wenu coz you always the smaller brother iwe ni SADC ama EAC na hakuna siku mtaongoza labda hapa JF. Hahahaha povu mtamwaga.
 
Ouch...inauma
 
ukweli usemwe barabara za kule uswahilini sawa na mashamba tu, jamani nyiie w.b hamfanyi poa etiii :D
 
Hapa tumepiga hatua kweli, nakumbuka mwaka wa 2001 Moi akiwa President, bara bara za KE zilikuwa miongoni mwa zile mbaya duniani.
Kibaki akaingia akaanza ujenzi kwa mpigo.

Hapa ndiyo mimi husema, kama TZ hamkutupita kiuchumi wakati wa Moi, uchumi wa Kenya ulikuwa unaporomoka na kuporwa kila pahali, saa hii itakuwa ngumu sana.
 
Back
Top Bottom