2018 - 2020 World Happiness report: Burundi ina furaha kuliko Tanzania

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,597
2,000
Sasa unataka kulazimisha kuwa nchi kama hii ina furaha? View attachment 1861014

Badala ya kuficha ujinga wako kwa kukwepa kuchangia mada unajitokeza waziwazi kujitangaza kuwa wewe ni mjinga?Ujinga ni sifa hadi ujitokeze hadharani kujitangaza kuwa wewe ni mjinga?WTF!!!

Nakushauri siku nyingine bakia huko huko mafichoni ili kuficha ujinga wako.
Wazee wa gubu

Mkapa mbayaaaaa, mwinyi mbayaaaaa, Jakaya mbayaaaaa, magufuli mbayaaaaa, Samia mbayaaaaa

Hamna Jema,

Lakini dunia hii aisee

Tuna Tanzania mbili, the real, and the utopic one , ya utopia iko online Republic
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,879
2,000
Furaha ina maana gani kwa mujibu wa ripoti hiyo?
Achaneni na hizi ripoti za kupima furaha. Mimi nadhani hazina ukweli wowote. Nchi za Scandinavia nazijua in out. Na Tanzania naijua in out. Watanzania wana furaha kuliko hao wazungu. Trust me. Furaha ni zaidi ya kuwa na nyumba nzuri, usafiri na chakula.
 

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
9,100
2,000
Hizi propaganda ni mbpvu hazisaidii. Tupo na tunaishi na furaha, tumeridhika.

Na kesho tunakula pilau letu na bia then tunalala..
 

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
9,100
2,000
Achaneni na hizi ripoti za kupima furaha. Mimi nadhani hazina ukweli wowote. Nchi za Scandinavia nazijua in out. Na Tanzania naijua in out. Watanzania wana furaha kuliko hao wazungu. Trust me. Furaha ni zaidi ya kuwa na nyumba nzuri, usafiri na chakula.
Nimeshangaa sana hiyo ripoti.
Watanzania Sisi hata kama tunapata kidogo lakini kwetu tunakifurahia siku zinaenda,
Pia mizaha yetu hii kwenye mitandao inafanya siku zinaenda huku tukifurahi
Mfano kina mzee mpili na wenzie wanatusogezea siku na kufanya tusahau shida
Nihame bongo niende wapi?
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Wazee wa gubu

Mkapa mbayaaaaa, mwinyi mbayaaaaa, Jakaya mbayaaaaa, magufuli mbayaaaaa, Samia mbayaaaaa

Hamna Jema,

Lakini dunia hii aisee

Tuna Tanzania mbili, the real, and the utopic one , ya utopia iko online Republic
Badala ya kujibu swali langu umekimbilia kwenye porojo.Hiki ni kipimo tosha cha uwezo wako hafifu wa kujibu hoja.

Kwa nini unalazimisha kuwa nchi kama hii ina furaha?Ni unajivisha upofu?Ni unajivisha ukiziwi?Ni unajilazimishia kuwa wewe ni tahira?Ni unajilazimishia kuwa wewe ni hamnazo?
7nbv654311.jpg
 

Death after life

JF-Expert Member
May 22, 2021
256
250
Kupima furaha ni rahisi sana mkuu.Nchi ambayo wananchi wake hawana chakula,hawana nyumba ya kuishi,hawana nguo za kuvaa,hawana huduma za maji,afya,elimu,barabara,haki za binadamu haziheshimiwi na unaweza kuuawa muda wowote ule kama Kuku kama ilivyo Rwanda na kadhalika hawawezi kuwa na furaha.
 

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,285
2,000
Kupima furaha ni rahisi sana mkuu.Nchi ambayo wananchi wake hawana chakula,hawana nyumba za kuishi,hawana nguo za kuvaa,hawana huduma za maji,afya,elimu,barabara,haki za binadamu haziheshimiwi na unaweza kuuawa muda wowote ule kama Kuku kama ilivyo Rwanda na kadhalika hawawezi kuwa na furaha.
MBONA RWANDA WAKO VIZURI KILA KITU INAKUWAJE AHWANA FURAHA
 

komrade

Senior Member
Sep 26, 2019
178
250
Ripoti inafurahisha, kwamba Yemen, Syria, Cuba nk wanafuraha zaidi yetu.

Nafikiri mataifa ya wenye furaha ni yasiyofuatilia ya chumbani.

Bahati nzuri mama kaainisha, kipaumbele chake ni kujenga uchumi. Mnaotaka katiba mpya mtasubiri sana...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom