2017 Tujiulize; Je ruzuku kwa vyama vya siasa inamsaidia nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
93,952
164,194
Chadema wameshindwa kujenga hata ofisi za HQ wakati ccm wamejenga apartments upanga.Nafikiri kuna ulazima sasa wa kufutilia mbali hii "biashara" ya ruzuku ya vyama.Tunaona baadhi ya viongozi wa vyama wako hatarini kufilisiwa tujiulize je kuna usalama kweli kwenye fedha ya walipakodi yaani ruzuku?
 
Swala jingine la msingi ni kupunguza mishahara ya wabunge!
 
Ruzuku ikifutwa mwathirika mkuu ni CCM, halafu nani alikwambia kazi ya ruzuku ni kujenga apartments.
 
Back
Top Bottom