J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 93,960 164,204 Dec 31, 2016 #1 Ni baada ya kukosa furaha kama alivyotarajia huko Chadema
M Mgango JF-Expert Member Oct 27, 2016 2,341 1,051 Dec 31, 2016 #2 Hahaha kulikoni?kuna kitu alishasema huko?
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,891 Dec 31, 2016 #3 kumbe bado mnapenda pole zenu. swissme
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Dec 31, 2016 #4 Wewe utakuwa rais wa wachawi Tanzania! Ukome na uvunjike, sio kulegea!
technically JF-Expert Member Jul 3, 2016 12,439 50,752 Dec 31, 2016 #5 Kabisa mafisadi ndio nyumbani kwao aende tu
M MPESAMAN Member Dec 28, 2016 31 20 Dec 31, 2016 #6 Chapa Nalo Jr said: Wewe utakuwa rais wa wachawi Tanzania! Ukome na uvunjike, sio kulegea! Click to expand... Hapo mm sijaelewa
Chapa Nalo Jr said: Wewe utakuwa rais wa wachawi Tanzania! Ukome na uvunjike, sio kulegea! Click to expand... Hapo mm sijaelewa
M mshunami JF-Expert Member Feb 27, 2013 4,256 1,942 Dec 31, 2016 #7 Kuna raha gani huko CCM wakati hata kesho tu umeme juu? Hivi nyie ccm mnafuraha sana eti???
kirengased JF-Expert Member Jan 10, 2016 6,260 6,992 Dec 31, 2016 #8 Mlimwimbiaga tunaimaaani na lowaaasa oyaoyaoya naona mnataka kumwimbia Tena eti...huyu mliyenae hamna imani nae Tena??
Mlimwimbiaga tunaimaaani na lowaaasa oyaoyaoya naona mnataka kumwimbia Tena eti...huyu mliyenae hamna imani nae Tena??