2017 Kwaheri: Kiukweli RC Makonda ni mwanasiasa aliyeng'ara na kuwafanya UKAWA wapoteane kabisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,446
Hivi sasa huwezi kujua kama jiji la Dsm liko chini ya UKAWA na hii ni kwa sababu ya kasi na mikakati sahihi ya mkuu wa mkoa Paul Makonda. Tofauti na mikoa kama Arusha ambapo viongozi wake hutumia " maguvu" kudhibiti upinzani, jijini Dsm wapinzani wamedhibitiwa kisayansi na kwa kweli wametulia.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ndani na nje ya CCM Makonda ameng'ara 2017. Ni hayo tu kwa uchache, niwatakie wanaJf wote heri ya mwaka mpya 2018!!
 
Kipimo cha ubora wa Makonda ni kuwadhibiti ukawa?
 
Hivi sasa huwezi kujua kama jiji la Dsm liko chini ya UKAWA na hii ni kwa sababu ya kasi na mikakati sahihi ya mkuu wa mkoa Paul Makonda. Tofauti na mikoa kama Arusha ambapo viongozi wake hutumia " maguvu" kudhibiti upinzani, jijini Dsm wapinzani wamedhibitiwa kisayansi na kwa kweli wametulia.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ndani na nje ya CCM Makonda ameng'ara 2017. Ni hayo tu kwa uchache, niwatakie wanaJf wote heri ya mwaka mpya 2018!!

Viroba is a hell of a strong drink....

It is on par with mineral acid!

Makonda is a loose cannon...He is a head case!

CCM has realized it,and currently he is becoming a liability
 
Hivi sasa huwezi kujua kama jiji la Dsm liko chini ya UKAWA na hii ni kwa sababu ya kasi na mikakati sahihi ya mkuu wa mkoa Paul Makonda. Tofauti na mikoa kama Arusha ambapo viongozi wake hutumia " maguvu" kudhibiti upinzani, jijini Dsm wapinzani wamedhibitiwa kisayansi na kwa kweli wametulia.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ndani na nje ya CCM Makonda ameng'ara 2017. Ni hayo tu kwa uchache, niwatakie wanaJf wote heri ya mwaka mpya 2018!!
hotuba sio kipao mbele chetu
 
Matatizo yetu wana dsm sio ccm wala ukawa tunataka maendeleo pamoja na kuheshim sheria katiba pamoja na haki za binadam sio kiki kila siku. tunaitaji kuishi dsm yenye kushimiana km ya kina mzee songambele marehemu brother dito kidogo mzee makamba sio kila siku taarabu...
 
Hivi sasa huwezi kujua kama jiji la Dsm liko chini ya UKAWA na hii ni kwa sababu ya kasi na mikakati sahihi ya mkuu wa mkoa Paul Makonda. Tofauti na mikoa kama Arusha ambapo viongozi wake hutumia " maguvu" kudhibiti upinzani, jijini Dsm wapinzani wamedhibitiwa kisayansi na kwa kweli wametulia.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ndani na nje ya CCM Makonda ameng'ara 2017. Ni hayo tu kwa uchache, niwatakie wanaJf wote heri ya mwaka mpya 2018!!
OK ,but sijaona point
 
Aki
Hivi sasa huwezi kujua kama jiji la Dsm liko chini ya UKAWA na hii ni kwa sababu ya kasi na mikakati sahihi ya mkuu wa mkoa Paul Makonda. Tofauti na mikoa kama Arusha ambapo viongozi wake hutumia " maguvu" kudhibiti upinzani, jijini Dsm wapinzani wamedhibitiwa kisayansi na kwa kweli wametulia.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ndani na nje ya CCM Makonda ameng'ara 2017. Ni hayo tu kwa uchache, niwatakie wanaJf wote heri ya mwaka mpya 2018!![/QU
Ama kweliii
 
Mleteni tanga aone makombora ya jadi yani baba hayana ushahidi
Ndo maana Tanga pamoja na ardhi nzuri, bandari, kwa maana ya geografia nzuri lakini hawa watu ni masikini kinyama, matajiri ni wamanga, Leo nimejua sababu, kurogana hovyo na kupuliza ngada, shit!
 
Back
Top Bottom