Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,181
Wanabodi Salaam.
Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.
Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kelele hizo zimesaidia kitu?, au zimeleta mabadiliko? .
Kwa upande wangu nakiri hizi kelele kwa kiasi fulani zimesaidia, ila ili kelele zetu zizae matunda ni kupunguza kelele za maneno matupu na tuongeze matendo.
Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii kelele zetu na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ila ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana kelele zetu, pia wanaona sana, bali pia wanabadilika kidogo kidogo, changing for the better. Kama kelele zetu zitaandamana na matendo, hawawezi kujifanya hawasikii maana matendo yatawasikilizisha, wakijifanya hawaoni, matendo yatawaonyesha kwa jinsi ile ile kura zikipigwa zisipotosha zinatosheshwa, zisipo jaa zinajazilizwa.
Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kupiga kelele kwa kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes we need for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.
Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za vitendo za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri. Tuongeze vitendo.
Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu
Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".
Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali

Wahenga walisema "maneno matupu hayavunji mfupa", na "matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno" hivyo watu mnakuja humu na kauli tupu zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!, wakati kiuhalisia kuna kitu tunaweza kufanya.Mapambano dhidi ya udikteta yataendelea ndani ya nchi hii.
Hatutakubali kuona uhuru, vyombo vya habari na kujieleza ukiminywa na watu wachache
Hatutakubali kuona katiba ikivunjwa.
Maana naona kuna mbegu ya udikteta inayomea na watu fulani kujifanya miungu watu.
Watanzania hawatoruhusu hayo
Freegodblesslema
Tunamtakabenakiwahai