Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,957
- 103,308
No, I can't but anyone can start anywhere to do something
It seems as if you have no any idea, yet you pretend you know how we can concur this situation!!
No, I can't but anyone can start anywhere to do something
Mkuu, lugha za kashfa au za maudhi hazifanyi hoja yako kuwa na nguvu. Weka hoja kistaarabu utaeleweka tu.
Mkuu Jingalao, kwenye hili la utii wa katiba, wengine tunaona direction moja tuu, nothing but the truth.Kwa bandiko lako mwenye akili akilisoma atabakia na hitimisho kuwa JF ni genge la wapinzani dhidi ya serikali.
Ukweli ni kwamba JF ni wadau wenye mawazo huru dhidi ya wote wanaopotoka.
Yes Chagadema au CUF itakapovunja katiba yake bila shaka mtawang'ata vilivyo kama unavyopendekeza dhidi ya serikali.
KWA UFUPI BANDIKO LAKO NI CHONGANISHI KATI YA JF DHIDI YA SERIKALI.
Ugumu wa issue hii ni kwamba ni nani ataratibu na kusimamia zoezi hilo? Hapa tu tunapoandika kwenye Jf, Max Mello yuko matatani, sasa je zoezi litaanzia wapi, nani atasimamia? Maana serikali za dunia hii huchukua hatua kwa "front heads" ili "back heads " waogope. Haya tunayojadili hapa, kwa hao wanasiasa tu wanaingiziwa virus na mambo mengi yanakwama. Kwa hali ilivyo ni bora vyama vya siasa vilianzishe na wananchi wahamasishwe kwani vyama vinamudu kesi za kisiasa ingawa zinawapotezea muda na gharama pia.Moja ni hii ya kupata saini za wananchi kuonyeshwa wanakubaliana au hawakubaliani na issue fulani inayoendelea nchini.
Hii ni rahisi kutekeleza lakini sifahamu inanguvu kiasi gani ndiyo maana nikauliza. Pia hii njia inaweza kutumika hata kwawasio tumia Internet. Watu wanafutwa kwenye community zao wanapewa karatasi waweke saini zao.
Haya mambo yanatakiwa yafanywe na wananchi na si wanasiasa. Kama wanasiasa watashiriki basi washiriki kama watu wakawaida tu. Unajua serikali ingependa kusikiliza zaidi raia wake lakini si makundi yanayoongozwa na wanasiasa.
Serikali ikiona wananchi wanasisitiza jambo la haki kabisa kabisa haiwezi kupuuza. Labda hiyo serikali haijielewi kwelikweli.
Nashukuru kwa responce yako ambayo haijajibu hoja yangu iliyotokana na maandishi yako katika thread hii....Mkuu Jingalao, kwenye hili la utii wa katiba, wengine tunaona direction moja tuu, nothing but the truth.
Nisome hapa kuhusu Chadema, CUF na Ukawa.
https://www.jamiiforums.com/threads...-fake-ikithibitishwa-chadema-kinaweza-kufutwa.
https://www.jamiiforums.com/threads...o-chadema-kufutwa-kwa-mujibu-wa-katiba-endapo.
https://www.jamiiforums.com/threads...hama-wenu-ili-kuwatendea-haki-watanzania-2015
https://www.jamiiforums.com/threads...tari-kugeuka-utawala-wa-kidikteta-nauliza-tuu.
https://www.jamiiforums.com/threads/kifo-cha-cuf-hichoo-chaja-upinzani-kubaki-chadema-pekee.
https://www.jamiiforums.com/threads...r-just-a-marriage-of-convenience-ni-swali-tuu.
Paskali
Sijasema tuchukue hatua dhidi ya watawala tuu. Nimesema tumekuwa tukipigia kelele mambo mengi tuu ya kisiasa kiuchumi na kijamii, na sio kuhusu watawala pekee.Nashukuru kwa responce yako ambayo haijajibu hoja yangu iliyotokana na maandishi yako katika thread hii....
Kukurejesha kwenye msingi wa post yangu ...ni kwamba...umeitaja serikali....SERIKALI SIKIVU...as if ndani ya JF tuna kazi ya kuikosoa serikali tu...!
Ningefurahi ungekuwa huru despite unazi wako dhidi ya Magufuli....ningependa kukuona unaweka balance kwa kusema wanaJF wachukue hatua dhidi ya wote....yaani watawala na wapinzani wanaotaka kupumbaza umma.
Weka maandishi yako yawe manyoofu mkuu.Sijasema tuchukue hatua dhidi ya watawala tuu. Nimesema tumekuwa tukipigia kelele mambo mengi tuu ya kisiasa kiuchumi na kijamii, na sio kuhusu watawala pekee.
Nimeshauri kwa mwaka 2017 tusiishie kupiga tuu kelele bali twende hatua moja mbele kwa kushauri nini cha kufanyika ili kubadilisha hiyo hali na tukiweza, pía tuchukue hatua za kuelekea kwenye mabadiliko hayo.
Tena sio lazima mambo ya kisiasa tuu,
Angalia hapa nilipigania nini
https://www.jamiiforums.com/threads...me-tanzania-tuhalalishe-the-oldest-profession.
https://www.jamiiforums.com/threads...-kuna-imani-na-matumaini-na-chadema-kwa-2015?.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ake-wafunzwe-kukubali-ili-kuepuka-ukatili-huu.
Paskali
Mkuu hajaribiwi na isiitoshe simuelewi anataka nini maana anasema in mtetezi wa wanyonge halafu umeme unapanda beiWanabodi Salaam.
Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.
Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kumesaidia kuleta mabadiliko? .
Kwa upande wangu nakiri hizi kelele zimesaidia sana. Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana, na wanaona sana, bali pia wanabadilika, changing for the better.
Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.
Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri.
Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu
Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.
Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".
Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali
Mkuu Nguvu, hoja yako ni moja ya matatizo makubwa ya Watanzania wengi, kutokataka kuambiwa ukweli. Ukweli ni kwamba gharama za uzalishaji umeme ni kubwa kuliko zinazotozwa. Huu ndio ukweli wenyewe na halisi. Tuukubali ukweli.Mkuu hajaribiwi na isiitoshe simuelewi anataka nini maana anasema in mtetezi wa wanyonge halafu umeme unapanda bei
Mkuu nashukuru sana kwa kunikosoa hongera sana. Nilitaraji baada ya kunikosoa wangalau ungekuja na wazo lolote kwenye mada iliyoko mezani. Kibaya zaidi umeishia kuwa kiranja wa nidhamu lakini huna wazo lolote la kujenga au kuharibu. Bora mimi mwenye lugha za kero kama ulivyoliita lakini nina wazo hata kama halikubaliki. Acha kugeuza hili jukwaa kama platiform ya dini wakati wewe mwenyewe huna wazo lolote.
Hata hii vita ya madawa ya kulevya ni muendelezo wa barking and barking kwa kukimbizana na mateja na vidagaa, mapapa wenyewe wako well camouflaged, wako as safe as heaven.Wanabodi Salaam.
Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.
Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kumesaidia kuleta mabadiliko? .
Kwa upande wangu nakiri hizi kelele zimesaidia sana. Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana, na wanaona sana, bali pia wanabadilika, changing for the better.
Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.
Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri.
Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu
Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.
Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".
Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali
Haya leo ushauri kama huu umetolewa pale Ubungo, JF tupunguze maneno on personalities, to deal na issues.Wanabodi Salaam.
Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.
Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kumesaidia kuleta mabadiliko? .
Kwa upande wangu nakiri hizi kelele zimesaidia sana. Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana, na wanaona sana, bali pia wanabadilika, changing for the better.
Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.
Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri.
Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu
" a barking dog seldom bite!".
Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Paskali
Wanabodi Salaam.

Najifanyia self diagnosis kujijua kama Pasco ni yule yule juzi jana na leo au amebadilika!. Nikimaanisha yule Pasco wa Jf na mimi Paskali kama ni watu wawili tofauti.Namsubiria akujibu maana siku hizi kabadilika sanaaaa
Bandiko hili nimeanza kulifanyia kazi mdogo mdogo.Wanabodi Salaam.
Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.
Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kelele hizo zimesaidia kitu?, au zimeleta mabadiliko? .
Kwa upande wangu nakiri hizi kelele kwa kiasi fulani zimesaidia, ila ili kelele zetu zizae matunda ni kupunguza kelele za maneno matupu na tuongeze matendo.
Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii kelele zetu na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ila ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana kelele zetu, pia wanaona sana, bali pia wanabadilika kidogo kidogo, changing for the better. Kama kelele zetu zitaandamana na matendo, hawawezi kujifanya hawasikii maana matendo yatawasikilizisha, wakijifanya hawaoni, matendo yatawaonyesha kwa jinsi ile ile kura zikipigwa zisipotosha zinatosheshwa, zisipo jaa zinajazilizwa.
Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kupiga kelele kwa kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes we need for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.
Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za vitendo za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri. Tuongeze vitendo.
Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu
Wahenga walisema "maneno matupu hayavunji mfupa", na "matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno" hivyo watu mnakuja humu na kauli tupu zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!, wakati kiuhalisia kuna kitu tunaweza kufanya.
Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".
Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali
Sheikh Bura alikutwa amekufa ndani ya ofisi yake. Afande Muroto anasema sababu ya kifo ni moyo wa Sheikh Bura " kufeli. " Taarifa za watu wengine zinadai mwili wa marehemu ulikutwa na majeraha matatu.
Mkuu Nguruvi3,Mkuu JokaKuu
kuna msemo usemao '' ni bora kukaa kimya, unaweza kuongea na kuwatoa watu mashaka''
Kuna umuhimu wa viongozi kuchunga kauli zao, na si lazima waongelee kila jambo
kamanda anasema waandishi waende kwa right source ambazo ni Polisi
Pengine kamanda ajiulize kwanini watu wanashaka na taarifa zao
Watu kutafuta habari za mitaani ni dalili ya kupoteza imani na right source.
Pascal Mayalla