2017 JF Tubadilike, Tupunguze Kuwa "Barking Dogs, Seldom Bite", Tusiishie Kubweka Tu, Tung'ate!

Wanabodi Salaam.

Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.

Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kumesaidia kuleta mabadiliko? .

Kwa upande wangu nakiri hizi kelele zimesaidia sana. Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana, na wanaona sana, bali pia wanabadilika, changing for the better.

Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.

Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri.

Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .

Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu

Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.

Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".

Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali
Pascal Mayalla mwalimu mzuri huamini hoja nzuri ni ile yenye mifano kuntu.

Ebu tupe mfano, unaposema watu wasilalamike tu. Wachukue hatua, tupe mfano.
 
Sawa kabisa mkuu...huwa napata shida sana nnapoona watu wanaandika kuwa walimu ni waoga eti kwa kuwa hawadai haki zao. Wanadai siku zote lkn wakigoma wakapigwa mabomu, kukamatwa na kuishia kufukuzwa kazi nani atalea familia zao? Wewe umesema vema. Ili jambo lisikike lazima nguvu kubwa itumike. Watu hawajui kuwa ni miaka tu ya hivi karibuni ndo idadi ya walimu wa msingi wa kiume imeenda inaongezeka wengi walikuwa wa kike...sio rahisi wanawake kuanza maandamano na kukimbizana na polisi na ukizingatia nature ya mafunzo na kazi yao. Pascal umesema vema NAKERWA SANA NA MIJITU MIOGA INAYOPENDA KUJIFANYA IPO NGANGARI NYUMA YA KEYBOARD.
Hii nchi ni ngumu sana, kama kusingekuwa na watu wanafiki mambo yangeenda. Unawezaji kuwaamini watu ambao hata kumwambia kiongozi mkuu ukweli wanashindwa wanapitia mlango wa nyuma
 
"Kwa kweli Mimi bora angefanya yote lakini kwenye Uhuru wa habari nita deal naye kweli kweli haiwezekani kuwanyamazisha mtoto ambaye kashajua kuongea na kuhoji mambo ya msingi."
Hili ndilo la maana, tupiganie kwanza uhuru wa vyombo vya habari na hili la serikali kutaka kuing'oa JF meno. JF iking'olewa meno yote itabaki kubweka tu kama mbwa anayemkamata mwizi lakini akiwa hana meno.
 
Hii nchi ni ngumu sana, kama kusingekuwa na watu wanafiki mambo yangeenda. Unawezaji kuwaamini watu ambao hata kumwambia kiongozi mkuu ukweli wanashindwa wanapitia mlango wa nyuma
Na inferiority complex ndo inafanya watu watupe mzigo kwa kuwashutumu sasa hivi eti viongozi wa dini hawaongei wala kukemea mambo yanayoendelea...hao hao watageuka na kusema dini inafanya siasa...unafiki unafiki tu...bora tubaki kimya na sio kulaumu wengine kwa kushindwa kwetu kupambana..
 
Wanabodi Salaam.

Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.

Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kumesaidia kuleta mabadiliko? .

Kwa upande wangu nakiri hizi kelele zimesaidia sana. Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana, na wanaona sana, bali pia wanabadilika, changing for the better.

Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.

Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri.

Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .

Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu

Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.

Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".

Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali
Paskali
Platform zote za kusema na kutenda zimeshakuwa Mateka wao.
Hatuna namna zaidi ya ku riot kama noma iwe noma ama.kumuachia Mungu
 
ukisema uende further kwa hatua zaidi kama unavyopendekeza ndipo hapo MANENO UCHOCHEZI NA KUHATARISHA AMANI YETU yanapokuja..
- binafsi nimekata tamaa na siwezi kufanya lolote zaidi ya kulalamika tu, labda ningekuwa public figure kama mbunge, mwandishi wa habari, politician au awaye yote mwenye ushawishi wa wazi katika jamii na mwenyewe kufahamika vizuri. Nayasema haya kwakuwa watu wa p"public figures" hao hata wakikamatwa uchochezi(ukweli waliousema) jamii itapaza sauti wakiwa lupango tufauti na sie Watanzania wa kawaida.
- Hivyo basi nashauri wenye kuweza kuyasemea haya myasemeee, na sie wa kawaida nawashauri tuwe making maana tunaweza potea kama punje ya haradari..
BT the way neno langu sio sheria..

remote
Na kwli maana jamaa ni mwepesi kukumbusha ya Libya
 
Mkuu Petition itasaidia nini kwa watu waoga namna hii. Nasema wangalau Arusha na Pemba kuna majasiri ambao wamevunjika moyo kwa woga wa wengine. Sasa hivi inabidi tukae kimya tuongozwe na watu wenye uwezo mdogo wa kututoa hapa tulipo labda wajukuu wetu wanaweza. Huyo Pascal mwenyewe anapendekeza tuchukue hatua za ziada kuliko kupiga kelele lakini ukimwambia tuingie mtaani kwa amani kuonyesha kutokukubaliana na jambo fulani anaenda hospital kuchukua kikaratasi kuonyesha ni mgonjwa ili asiende front line. Kuna mtu jasiri wangalau namuona anasimamia kile anachoamini bila woga naye ni Lema. Lakini hawa akina Mayalla warembo tu.

Mkuu, lugha za kashfa au za maudhi hazifanyi hoja yako kuwa na nguvu. Weka hoja kistaarabu utaeleweka tu.
 
Paschal, you don't make sense. Ni kama unasema mwandishi wa habari asiishie tu kuandika habari bali aende mbele zaidi atekeleze yale anayoyaandikia habari vinginevyo habari yake haina impact. Au ni sawa na kusema whistleblowing is not a complete mission unless the whistleblower takes further action. Siyo kweli.

Kama ulivyojichanganya kwenye andiko lako na kusema kwamba baadhi ya posts za JF zimepelekea baadhi ya wahusika kubadilika, huo ndio ukweli sasa. Wale wanaoweza kuishia kuandika tu kufichua maovu waandike. Na wale wanaoweza kwenda mbali zaidi kutekeleza nao watekeleze. But, kupiga kelele peke yake bado inasaidia na inaweza kuwa complete mission pia.
 
Unapokuwa na mwenekiti kama Mbowe hutakiwi kuwa na Katibu Mkuu mashinji. Mbowe ni mzito sana the same to mashinji. Katibu mkuu awe lisu awe lisu.. Lazima km WA chama awe Strong.
 
Wanabodi Salaam.

Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele mambo mengi yanayoendeshwa ndivyo sivyo, zinasaidia?.

Tujiulize tumepigia kelele mangapi na jee kumesaidia kuleta mabadiliko? .

Kwa upande wangu nakiri hizi kelele zimesaidia sana. Japo wapigiwa kelele wanajifanya kuweka pamba masikioni kujifariji kuwa hawasikii na kuvaa miwani ya zege kuwa hawaoni, ukweli ni kuwa, sio tuu wanasikia sana, na wanaona sana, bali pia wanabadilika, changing for the better.

Hivyo natoa wito kwa wana JF ambao ni bold enough, kwa mwaka 2017, tusiendelee tuu kuwa just a Barking dogs who seldom bite, besides barking only, let's start to bite little by little by taking simple actions towards bringing about radical changes for the better kwa mambo tunayoyapigia kelele.

Tukiona kuna jambo ambalo linakwenda ndivyo sivyo, tusiishie kulipigia tuu kelele bali pia tupendekeze hatua za kuchukua kuibadili hiyo hali na naamini serikali yetu sikivu itatekeleza na isipotekeleza, tutafanya actions kuifanya itekeleze, yaani isipotekeleza, itekelezeshwe kwa jinsi ile ile ilivyochaguliwa kwa kura zisipotosha, zinatosheshwa na kama ni ujazo ukijaza usipojaa unajazilizia, hivyo kwa mwaka 2017, tupunguze maneno maneno kwa kusema sema sana, maneno mengi, kelele nyingi lakini vitendo sifuri.

Tuwe watu wa maneno mafupi na vitendo virefu. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo kuisaidia Tanzania yetu ibadilike kwa ku change for the better! .

Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili katokana na hoja ya mwana JF huyu

Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya!, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.

Kwa kunisaidia mimi na wengine, usiishie kusema hatutakubali kuona katiba yetu ikivunjwa, bali twende a step further kwa kusema, utafanya nini au unaweza kufanya nini endapo katiba yetu itavunjwa tena, ili kupunguza mabandiko ya maneno matupu, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".

Kwa mwaka 2017, wana jf tupunguze kubweka tuu, ikibidi kung'ata pia tung'ate.
Bye Bye Mwaka 2016, Karibu 2017.
Paskali
Kwa bandiko lako mwenye akili akilisoma atabakia na hitimisho kuwa JF ni genge la wapinzani dhidi ya serikali.

Ukweli ni kwamba JF ni wadau wenye mawazo huru dhidi ya wote wanaopotoka.

Yes Chagadema au CUF itakapovunja katiba yake bila shaka mtawang'ata vilivyo kama unavyopendekeza dhidi ya serikali.

KWA UFUPI BANDIKO LAKO NI CHONGANISHI KATI YA JF DHIDI YA SERIKALI.
 
Kwa KUWA mikutano ya kisiasa Umepigwa marufuku. Na ishu ya kusaidia ilikuwa ni Habari Sasa sheria inawabana. Ila huku jf na Fb watumiaji wengi ni vijana na wazi wameonyeshwa kutopendezwa na baadhi ya mambo ya kiutawala.. Sasa kinachobaki ni kuendelea kufanya mijadala Ila tuinge mkono serikali Kwa mambo mazuri inayofanya. Hii nchi yetu. Umoja sio lazima Ila UPENDO tuudimishe ili tusije kumwagana Damu wala fujo. Kuingia mitaani na kufanya action zozote ni HARAKATI za kiwaki Kwa DuniA ya Sasa. Tukae kijanja hivi. Tuwekeze kwenye mitandao..ccm itakufa yenyewe tena hivi endapo vijana wengi wakishiriki uchaguzi..tuendelee kuhabarishana ukweli utafunuka wenyewe..kama magufuli akifanikiwa aliyotuhaidi tutampigia kura tena.

SISI wapinzani tubadili mitizamo. Hii habari ya kutaka kuwaaminisha watanzania kwamba rais magufuli ni dikteta wakati mifano iko michache ya wapi ameonyesha udikteta wake.. Kama ni siasa za kufanya Sasa ni kujadili mambo ya kiuchumi na katiba mpya. Hizi mbinu za kipropaganda za kumbambikizia rais kuwa ni dikteta ni mbinu mbovu. Tusipandikize habari za matukio Kwa watanzania tupandikize mijadala ya Muda mrefu... Sasa MFANO mimi Sioni mantiki ya watu KULALAMIKA rais kuzungumza kwenye clouds TV. Sioni kama ni mambo ya tija ya kuchukulia point. Wapinzani uliopo mtandaoni uhoji mambo ya msingi Sana.
Maandamano hayajawahi kupitwa na wakati, hii haijawahi kutokea. Nchi za dunia ya kwanza zimeendelea ni kwa Sababu ya uwezo walionao wa kuwadhibiti viongozi wao pale wanapofanya vibaya na hapo wanatumia njia ya kupaza sauti zao kwa kufanya maandamano nenda ulaya kote wanafanya hivyo.
Maandamano pasi kuvunja sheria hii hata katiba inaruhusu ni ipo kisheria.
Hapa raia huandamana kwa ajili ya kupinga kitu fulani kile kinachogusa maslahi ya taifa na note kwamba maandamano siyo lazima yaongozwe na wanasiasa wa vyama.
 
Mm nlishasema, Mtanzania mpe tu sehemu ya kulalamikia kama hapa jf utamtawala kiulaini kweli.

Utakanyaga miguu, kumpiga singi na hata kumtia vidole machoni mwake lakini mwisho wa siku atakimbilia jf kulalamika basiiiii.

Na hata hapa jf penyewe sijaona ukosoaji bali upondaji tu basiii..

Shida kweli.
 
Back
Top Bottom